Uteuzi wa wabunge wapya

KATATANAMA

Member
Feb 15, 2012
63
6
Kikwete ameteua wabunge watatu (3) kwa mamlaka aliyopewa kama rais ambao ni:
1. Profesa Sospeter Muhongo.
2. Bi. Janet Mbene na
3. James Mbatia.
Source: Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
 
Kikwete ameteua wabunge watatu (3) kwa mamlaka aliyopewa kama rais ambao ni:
1. Profesa Sospeter Muhongo.
2. Bi. Janet Mbene na
3. James Mbatia.
Source: Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu.
Mkuu, hii taarifa tayari ipo humu jukwaani. Kazi kwenu Mods.
 
Duuh..kwan bado walikuwa hawajitimia idadi ya waliokwisha teuliwa.?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom