Tuamini waziri Mrugo yuko sahihi !?

lutome

Senior Member
Apr 18, 2012
148
26
Nimekuwa nikimfatilia sana naibu waziri wa elimu kuna siku alionekana anasoma attendance register kwenye parade,siku nyingine anakagua mitaala ya shule,jana analaumu necta live kwenye tv kwa kutoa number kwa shula bila mkoa kuhusishwa.

Wasiwasi wangu naona nia ni njema lakini siyo style sahihi ya uongozi hasa kwa mtu mkubwa kama waziri,pia kutumia sana tv kushambulia watu ni dalili za kutaka sifa nyinyi wadau mnasemaje! Shule hii ni ya mwaka 1966
 
Shule ndogo wadhifa mkubwa ndio kinacho msumbua huyo cofidence ziro kabisa kwa hiyo anatafuta nguvu ya vyombo vya habari kujipa nguvu.

kwanza alichakachua vyeti vya awali kabla ya kujisafisha na digrii ya kuuanga unga ya open university. ashukuru ukuwadi wake wa kumtafutia mke mkuu wa nchi amezawadiwa huo unaibu waziri wa elimu.

weee fuatilia maamuzi na matamushi yake ndio utajua alivyo mtupu. nchi hii uongozi wanagawa kama pipi au zawaidi but siku zao zinahesabika
 
Uko sahihi mkuu huyu jamaa hata hilo jina sio la kwake inasemekana alinunua cheti cha std seven jina lake halisi ni Mulungu wakazi wa mbeya fuatilieni hili mtupe data zake maana ubabaishaji umezidi hii serikali ya baba mwana asha.
 
Back
Top Bottom