Kamrani ni nani? kutoka bungeni.

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Huyu Kamrani ni nani ? anaishije hapa nchini ..kuna mbunge anasema kuwa maofisa wa serikali wanaogopa hata kufika nyumbani kwake..
huyu nani mwenye details za huyu mtu .imesemakana amewabeba tiga wawili, pofu 2, viboko 2 kudu 4 kuwapeleka Pakistan bila document yoyote..huyu ni nani?
 
ni mpakistan wa hatari kabisa, anachukua wanyama , anaishi arusha ni hatari sana advocate wake ni ndugu mwale na ndugu mawalla,
 
mmh hana cha hatari huyo jamaa kwn umesahau yaliyomkuta sadam na gado boy?
bado mda wao unakaribia tutawashughulikia kisawasawa just 2015 kwisha khabari yao
 
Joh:3:16: For God so loved the world, that he gave his only begotten Son, that whosoever believeth in him should not perish, but have everlasting life.

Joh:15:7: If ye abide in me, and my words abide in you, ye shall ask what ye will, and it shall be done unto you.
 
Sihatari kiivyo niwakawaida nimuhongaji mzuri sana kwa watumishi wa Umma hasa Uhamiaji Arusha na baadhi ya maafisa Uhamiaji Makao Makuu Dsm, Hajawawi kupata kibali halali cha kuishi na kufanya shughulizake hizo za kusafirisha Ndege na Wanyama walio hai, Pia anabiashara ya kuuza magari karibu na Stand ndogo ya vifodi.
 
huyu Kamrani ndiye anayewacost baadhi ya mawaziri wetu sasa hivi??
 
Huhhhh! This person is really devil amidst our many devils we hv! Hiv CHADEMA tunajipangaje kuja kukabiliana na majangili kama hawa tukikamata DOLA?
 
kwa hoja za hapo juu...naona huyu ndo rais wa tz, haiwezekani kutoka pakstani aje tz awe huru
kiasi cha wabunge kumwogopa. aibu gani katika nchi hii jamani... we are real animals in a big zoo
called tanzania.
 
Back
Top Bottom