Jk asema nchi za africa zina rasilimali nyingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk asema nchi za africa zina rasilimali nyingi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shine, Jun 1, 2012.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mu hali gani wanajamvi kutokanana na ripoti za magazeti mbali mbali yalivyoripoti leo ktk mkutano unaoendelea Arusha jk amenukuliwa akisema africa ina rasilimali nyingi ambayo haitumiwi vizuri.
  Swali na maoni yangu : Hivi kumbe nae analitambua hili? Pia yeye si moja kati ya kiongozi wa africa mwenye wadhifa mkubwa kabisa? Kwanini asiwe mfano wa kuigwa kwa nchi nyingine za africa ktk kuitumia rasilimali za Tz ili ktk mkutano kama huo ajitolee mfano wa kuigwa? Maana kwa wadhifa anao, akiamua uwezo anao na sababu pia anayo.
  Nawasilisha hoja tuijadili
   
Loading...