Mbunge chadema aweka wazi `sikukwenda bungeni kuruka juu ya viti na kucheza dansi` | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge chadema aweka wazi `sikukwenda bungeni kuruka juu ya viti na kucheza dansi`

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alagwa, Jun 1, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mbunge wa jimbo la Mbulu Mh Mustapha Akonay amewataka wananchi wa jimbo la Mbulu kuacha siasa Chafu kwani haina msingi wowote mbele ya jamii na kuongea mambo pila ya kujua msingi wake na taratibu za utendaji kazi wa kiongozi hii ni baada ya watu wasio eleweka kuanza kusambaza maneno ya siasa ambayo hayana msingi kwa jimbo la mbulu.

  Aidha Mh Akonay alibainisha kuwa changamoto zilizo kwanye jimbo la Mbulu ni tofauti na Changamoto za Ubungo kwani kwa sasa wananchi wa Mbulu wanataka barabara na maji wakati watu wa ubungo wanamahitaji yao tofauti na wa Mbulu na hivyo hata utendaji wa kiongozi ni lazima uwe tofauti kwani kwa sasa yupo katika harakati za kuwezesha mitandao ya simu kuleta huduma karibu na jamii lakini kwa ubungo au arusha wabunge hawawezi kudai swalla la mawasiliano kwani tayari wanayo katika majimbo yao

  Na Paul Alagwa - Mbulu Manyara
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Jukumu la mbunge ni kuishauri na kuisimamia serikali. Hawajui???
   
 3. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 842
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Aliyemwambia watu wa ubungo hatutaki Barabara na maji nani?
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kamanda Akoonay timiza majukumu yako ya kibunge, CCM wambea!
   
 5. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hao wananchi nadhani ni wale wanaodhani kazi ya mbunge ni kuwagawia wananchi pesa anazozipata kwenye vikao,huo ni ujinga wa hali ya juu
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hii ya kuruka ruka kwenye viti sio anampiga dongo Sendeka huyuu
   
 7. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wajiulize miaka yote hiyo chini ya CCM wamevuna nini mpaka ifikie kumzoda namna hiyo mbunge huyo ambaye hana hata miaka mitatu.
   
Loading...