Je ni kweli wabunge wa chadema wamekwenda ruka ruka na kucheza danci Bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli wabunge wa chadema wamekwenda ruka ruka na kucheza danci Bungeni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alagwa, Jun 1, 2012.

 1. Alagwa

  Alagwa Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  `HATUKWENDA KURUKA RUKA MBUNGENI NI SHIDA ZA WANANCHI NDIZO NINATUWEKA PALE `
  Mbunge wa jimbo la Mbulu Mh Mustapha Akonay amewataka wananchi wa jimbo la Mbulu kuacha siasa Chafu kwani haina msingi wowote mbele ya jamii na kuongea mambo pila ya kujua msingi wake na taratibu za utendaji kazi wa kiongozi hii ni baada ya watu wasio eleweka kuanza kusambaza maneno ya siasa ambayo hayana msingi kwa jimbo la mbulu.

  Aidha Mh Akonay alibainisha kuwa changamoto zilizo kwanye jimbo la Mbulu ni tofauti na Changamoto za Ubungo kwani kwa sasa wananchi wa Mbulu wanataka barabara na maji wakati watu wa ubungo wanamahitaji yao tofauti na wa Mbulu na hivyo hata utendaji wa kiongozi ni lazima uwe tofauti kwani kwa sasa yupo katika harakati za kuwezesha mitandao ya simu kuleta huduma karibu na jamii lakini kwa ubungo au arusha wabunge hawawezi kudai swalla la mawasiliano kwani tayari wanayo katika majimbo yao

  Na Paul Alagwa - Mbulu Manyara
   
Loading...