Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Serikali imeonyesha udhaifu mkubwa ktk kuwataja hao mharamia.Badala ya kuwataja kwa jina wamewaita WAHUNI wakati wanajulikana ni waislam na wao wanajiita waislam ha hadi sasa wanatambulika km waislam.Sijui nini kimefanya wawe sehemu ya kudanganya dunia.
Pamoja na hayo yote serikali inahitaji kujua kuwa makanisa yanahitajika kujengwa upya.Sababu za msingi ni hizi:
-Kwanza kutojenga makanisa kunamaanisha tayari ni hatua kubwa kupinga vita Ukristu.watakuwa wametimiza taratibu za nchi za kiislam kuwa kanisa likiteketezwa si ruksa kujenga lingine bila kibali.Sasa km wakristu wa kule ni masikini hapatakuwa na tofauti na sheria hizi za nchi za kiislam.
-kanisa Ni mali na ina wenyewe ambao ni waumini na mamlaka yao na kisheria wanstahili fidiwa sasa hao
"wahuni walioitwa ili waonekane hawawezi lipa" inabidi waonje chachu ya kulipa otherwise serikali inabidi itumie hel aya wapiga kodi kulipia maharamia.Hao wan uamsho misikiti yao itoe hela ya kujenga kanisa ili waone jinsi walivyo wapuuzi.
-Pia serikali ijue haki ya kikatiba ya kuabudu kwa hao waumini wasio na makanisa yao kwa sasa imeondolewa.
PIA NASHAURI SERIKALI IMWITE MBUZI NI MBUZI NA SI MBUZI KUWA MUHUNI.