Tokea nimeanza kusoma maelezo yake hapa jukwaani anaonekana kama mtu ambaye akishindwa anatapata.
Hata mzee wake alikosa nafasi ya kugombea urais kwa maneno yake, matatizo yako William Malecela, inabidi ungalie kwanza ndani ya chama chako kama kuna wasafi au la. Siasa za Tanzania zinahitaji kujipanga haswa.
Siasa za kuchafuana kama ilivyokuwa hapo awali zimepitwa na wakati. Eleza mikakati yako na ukipata nafasi uwe mtekelezaji.
Tumia ushawishi zaidi ya mbinu chafu