Jk ataka nchi za africa kutumia rasilimali zao vizuri

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Ameyasema hayo ktk mkutano unaondelea Arusha na kunukuliwa na magazeti mbalimbali.
Kwa upande wangu hapo swali na maoni yangu ni kwamba
jk si moja ya viongozi wa africa na ana wadhifa na uwezo wa kusimamia rasilimali za afrika zikatumika vizuri? Kwanini asiwe mfano mzuri ili akisimama ktk mikutano kama hiyo akajitolea mfano? Atakitoje kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzake kabla hajatoa kilicho kwenye jicho lake? Au ndo penye miti hapana wajenzi? Alafu kumbe mwenyewe anayajua yote hayo sijui ni kitu gani kinamfanya asiyatimize nae awe raisi wa kuigwa africa.
Naweka hoja mezani
 
Back
Top Bottom