Chadema saut-mwanza kutikisa kata kasamwa-geita kesho. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema saut-mwanza kutikisa kata kasamwa-geita kesho.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OMUSILANGA, Jun 1, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu! Katika mwendelezo wa kupeleka ujumbe wa ukombozi wa pili wa Taifa hili na ikiwa ni pamoja na harakati za kuipigania Tanzania tuitakayo, makanda toka chuo kikuu cha Saut-mwanza watahudhuria na kuhutubia mkutano utakao ongozwa na katibu cdm wilaya geita,ndgu Rogerz, diwani wa kata ya kasamwa cdm pamoja na makamanda wengine. Ijumaa iliyopita makamanda hawa walikuwa na ziara kama hii katika Kata ya Lwezera,wilayani geita ambapo walihutubia mkutano ulio jaa ujumbe wa ukombozi wa kifkra kwa wananchi watanzania waishio marginalized areas. Ktk safari yao walipitia sengerema mjini ambapo walipata fursa ya kutembelea ofisi ya wilaya, matawi ya nyatukara na stand kwa waendesha bodaboda. Wakati wa safari walipita kusalimia matawi ya cdm ktk vijiji vya nyehunge na kakobe.Ktk kijiji cha nyehunge makamanda walipata nafas kidogo ya kuhudhura msiba ambapo walitoa rambirambi Tsh elf 12. Ki ukweli .safari ilikuwa yenye mafanikio kwani kama kawaida zoezi la kuvua magamba na kuvaa magwanda liliendelea. Zaidi tutaendele kujulishana kuhusu ziara ya Kasamwa. M4C forever, mpaka kieleweke
   
 2. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  /1 kamanda
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  M4C!
  Isonge mbele daima!

  Mpk kieleweke!
   
Loading...