Msaada pls!

Papadoc

Member
Feb 10, 2012
39
2
Wandugu heshima kwenu! Nilifanyaga mtihani wa kidato cha nne kama 'private candidate' mwaka 1998 pale Old Moshi Sec. Na sikuwah fuatilia cheti kwan nilikuwa natumia summary slip. Ss nahitaji hicho cheti, je niende Old Moshi Sec au Baraza? Regards!!
 
Back
Top Bottom