Maige tunataka uturudishie Twiga wetu na wale Faru wa JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maige tunataka uturudishie Twiga wetu na wale Faru wa JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lifer, May 31, 2012.

 1. L

  Lifer Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2007
  Messages: 34
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Ezekiel Maige uliyekuwa Waziri wa Mali asili na utalii:

  Chini ya uongozi wako, mwaka jana (2011) Tanzania tuliibiwa Twiga wanne (nembo ya taifa "national heritage") waliotoroshwa kwa kupitia uwanja wa ndege wa Kilimanjaro kwa vibali batili vilivyotoka wizara ya maliasili na utalii. Kama waziri wa wizara husika wakati huo, unawajibika moja kwa moja na huu ujangili wa hawa twiga wetu.

  Wananchi: Tunataka uturudishie hawa Twiga wetu.

  Hivi majuzi, mchana kweupe, Faru na mtoto wake (walioko kweney orodha ya "endangerd species") ambao JK aliwaomba kutoka South Africa ili wazaliane upya baada ya Faru tuliokuwa nao katika mbuga ya serengeti kuteketea karibu kumalizika kwaajili ya pembe, waliuwawa na pembe zao kuchukuliwa wakiwa chini uangalizi na ulinzi wa maafisa wa wizara yako. Hili pia limetokea wakati wewe ukiwa waiziri wa wizara husika. Unawajibika moja kwa moja na haya mauaji na huu ujangili wa Pembe.

  Wananchi: Tunataka utulipe fidia kwa vifo vya hawa Faru na wizi wa Pembe zao.
   
 2. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  naunga mkono ila tafadhali wale faru sio wa JK bali ni wa watanzania
   
 3. J

  JokaKuu Platinum Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,790
  Likes Received: 5,051
  Trophy Points: 280
  ..Waziri Membe anatakiwa aidai serikali ya Qatar iturudishie wanyama wetu.

  ..mbona suala la rada alilibebea bango lakini hili la wanyama amekuwa kimya??
   
 4. b

  bdo JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,712
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  unataka Maige auze nyumba yake au malori yake?
   
 5. m

  matawi JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Alete twiga wetu kwanza ndo waanze kupigana napeh
   
 6. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Yaani hawa faru wamenisikitisha sana. Inaniuma, tunafanya jitihadi kuwalinda endangered species, halafu watu wanawauwa sababu ya pesa. Please watu wa usalama na mahakama, mkifanikiwa kuwakamata wauwaji, napendekeza adhabu yao iwe kifo! Wakifa hawana shida, coz sisi hatupo kwenye hatari ya kutoweka.
   
 7. L

  Lifer Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2007
  Messages: 34
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Since yale malori yake yanaingiza US$ 20,000 kila mwezi, anauwezo kabisa wa kutulipa fidia ya Kifaru wetu na mtoto wake. ndani ya miezi mitano.

  Nime research online, Cost ya kifaru mmoja na pembe zake on the black market, ni roughly US$ 50,000.
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,363
  Trophy Points: 280
  jk ana mgao wake kwenye twiga..maige hakamatiki
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Nini maana ya kutumia neno wananchi? mkuu ushahidi unao tusaidie tumpeleke fisadi maige kortin.Your presantation of the matter here might trigger some inquinstive minds about this whole matter,taking into consideration the ongoing verbal war between Maige and Nape
   
 10. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anajidai kulumbambana na nape ili tusahau! Hatusahau ng'o
   
 11. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kiendacho kwa mganga hakirudi!!!!
   
 12. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndiyoooooooooo,arudishe na wanyama pori wetu.
   
 13. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Au tufanyeje? tuchome mali zake kama wafanyavyo stupid people wa zenji?
   
 14. L

  Lifer Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2007
  Messages: 34
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  Nina maana watanzania wote waliokerwa na kusononeshwa na hili jambo.
   
 15. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wanyama hawawezi kuuzwa bila kibali cha JK au waziri
  kuna mawili hapa either JK alijua hili au waziri alifanya bila JK kujua
  hata hivo cha msingi kuna mtu wa kunyonga hapa
  leo wameuza wanyama kesho watatuuza na sisi
  afu anashinda kutwa kucha kujidai msafi wakati ni jizi tena nafuu ya jambazi
  JK chukua hatua we want the head of this man ktk sinia.ni kosa kubwa mno kuuza rasilimali na urithi wetu
  wakijenga migorofa huku sisi hata mlo wa mchana unakuwa tabu
  chadema mkichukua nchi hawa watu anzeni nao kuwashughulikia mapema
   
Loading...