ITV: viongozi wengi huishia kutoa matamko na ahadi bila utelekelezaji, huu ni uwajibikaji?

Viongozi kutoa kauli za vitisho ni kushindwa kuwa na maono na kukosa sifa za uongozi
 
they are bussy building their stomach
a time will come that they will have no where to hide
kiama chaja sio tanzania pekee hata uganda kwa museven
we have to wake east africa lets take away those false promises by choosing right leaders
 
wameniudhi..walianza lumbana na msemaji aliyetaka sema kuhusu rai tembeza bakuli..as if kikwete haombi nje. waongozaji nao wanataka ukuu wa wilaya.

ITV zaid ya news kuwa na fadhali kuliko TBC, vipindi vya masako, hawana vingi vya kupenda

Sijui presidaa anaendelea kuteua hao viranja wa wilaya? au kuna uhakika watatoka soon kwa vile hakuna anayefaa kwa hiyo zoezi linaendelea.
 
Back
Top Bottom