Jamani awa wanaojifanya ndio ZUKU waondoke tumewachoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani awa wanaojifanya ndio ZUKU waondoke tumewachoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cloudz, Jun 10, 2012.

 1. C

  Cloudz Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zuku kana Sio kufua wamefulia,wamekuja. Kwa mbwembwe sasa tumewaona Kama wababaishaji tu,hata Euro mmeshindwa kuonyesha?.Jamani anaelitaka mimi naliuza tena na package yake ya 60,000/=.nitafute tu kupitia nartons@yahoo.com.ni heri Tuvalu na DSTV
   
 2. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  kwa hiyo unataka uwauzie wenzio kimeo sio?? huo ni wizi pia
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Zuku ni Tanesco!!!hata mimi washanikera
   
 4. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mi nilikimbia DSTV nikadhani kwa hawa ZUKU nimepona lakini hamna kitu kabisa!! Bora ningeendelea kuvumila maumivu tu!!
   
 5. Chenge

  Chenge JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 1,077
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Mbona mi nina dish la ft nane na receiver ya FTA nakula Euro bila zengwe kbs.TV za Mozambique na hata UBC wanaonyesha
   
 6. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  mmeshaambiwa vitaitwa ving'amuzi,wewe hujang'amua,nani wa kulaumiwa zadi ya hivi vipato vyetu kiduchu!
   
 7. k

  kaeso JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mbona wanaonyesha euro kupitia UBC??
   
 8. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  hapa Morogoro tunaangalia euro kwa antena kupitia Abood tv
   
 9. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Jamani naombeni fundi mzuri wa kuniwekea dish la free???nimechoka na hivi ving`amuzi. Hawa zuku hakuna lolote,unalipia 40,000 kwa mwezi kuangalia news na movies za kawaida tu bila mpira??kwanza kinachonishangaza ukipiga customer care ni wakenya wapo tuu, ina maana watanzania hata customer care hatuwezi??hivi hii mikataba inasainiwa na nani??haina maslahi na nchi????
   
Loading...