Nafasi za ajira tz kwa wanachuo na wasomi wengine 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za ajira tz kwa wanachuo na wasomi wengine 2015

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dik, Jun 10, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jf, kutokana na tatizo la ajira linaloikumba nchi yetu kwa sasa,nashauri vijana(wanachuo) wote na wasomi mbalimbali wenye uwezo wa kuongoza wajiunge CHADEMA sasa ili wapate muda wa kumulikwa uwezo wao kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuajiriwa na chama ktk nafasi za ubunge,uwaziri,unaibu waziri na nyinginezo 2015 chadema itakavyoingia madarakani!

  Ni wazo langu sijui mwana jf mwenzangu unasemaje kuhusu hili!
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  vp ni catle barid au ndovu moto?
   
 3. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  vp ni castle barid au ndovu moto?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,646
  Trophy Points: 280
  itakuajirije?
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Msuba bwana kwere mi nikajua maajira mapya kumbe mijisiasa imetawala.Tena kwa taarifa yako bora siasa ife nchi iongozwe kijeshi wizi mtupu kwenye siasa
   
Loading...