Coaster 6 zapigwa mawe Kimara mwisho; ni za wapambe wa CCM wakitokea Jangwani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coaster 6 zapigwa mawe Kimara mwisho; ni za wapambe wa CCM wakitokea Jangwani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Indicator, Jun 9, 2012.

 1. I

  Indicator Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima JF,

  Katika hali isiyo ya kawaida, wana wa kimara mwisho wameyarushia mawe magari aina ya Coaster sita ambayo yalikodiwa kwa ajili ya kujaza uwanja wa jangwani. Gari hizo kwa taarifa nilizozipata kwa haraka katika upelelezi wangu ni kwamba Tatu zilikuwa zinaenda maeneo ya Kibaha na Chalinze na tatu hadi Morogoro. Mawe hayo yalifanikiwa kuvunja vioo vya baadhi ya coaster.

  Source; Live nilikuwepo maeneo ya tukio.
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Sio tukio zuri ila Kwa ukombozi wa nchi halali
   
 3. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hizo sio siasa bali ni ujinga. Waliotupa mawe kama ni wafuasi wa upinzani basi ni wahalifu na wahuni wakubwa hao. Wanachafua sifa ya amani waliyonayo wapinzani kwa sasa.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu kwani walioenda au wanaova nguo za ccm wengi si kwa mapenzi yao ni shida, mtu unakuta hana nguo halafu napewa za bure inabidi akubali ajisitili sasa ukianza kumshambulia unakosea sana...
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  lakini inawezeka wakawa wamefanya vijana wa ccm ili kutafuta kuandikwa na vyombo vya habari
   
 6. English Learner

  English Learner JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Hilo siyo tukio la kuona ufahari juu yake. Tukemee na kuchukia kwa moyo na vitendo uharibifu wa mali na amani kwa mwamvuli wa itikadi au dini au mlengo wwt ule wa kijamii.
   
 7. B

  Bob G JF Bronze Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Unachotaka kutuambia na mimi macho yangu kinataka kusoma kuwa ccm imekodi magari na watu walichukuliwa toka Moro- kibaha kuja kujaza CHADEMA SQUARE na Si magari kutupiwa mawe, Haipendezi na isirudiwe, Siasa za kizamani hizo Upinzani upo ktk kujenga hoja na kutekeleza na si kupigana
   
 8. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,116
  Trophy Points: 280
  Dah, ama kweli hawakukosea waliosema Bring conflict to rule.
  The unseen is illustrated by the seen.
   
 9. Master jay

  Master jay Senior Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kama wamepigwa mawe ni vizur il wakawasilie wanzao kuwa buku 2 zimewaponza
   
 10. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hatunaga vyama vya upinzani wenye tabia hiyo!

  Nina mashaka makubwa ya kwmb hao ni wanasisiem wenyewe wanataka kuwachafua wapinzani.

  Itakula kwao! Hatunaga wapinzani wakorofi!
   
 11. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mtaishia kupigwa mawe kwenye hivo vipanya hadi lini huku wenzenu wakitanua kwenye vx v8?kisa khanga,pesa na mlo? Acha njaa iniue
   
 12. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  waache wapate walichopata kutoka nyinyiem
   
 13. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Haikuwa sawa kufanya hivyo! Sio harakati stahili.
   
 14. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kutoka kibaha/chalinze na morogoro kuja kwenye mkutano jangwani-dar es salaam ili kuongeza wingi wa waudhuriaji we unaona ndo siasa zenye akili!!
   
 15. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hiki ni kitu cha kulaaniwa
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Wala sio ujinga ni namna tu ya wananchi kuonyesha hisia zao. Wenzetu mali amempiga Jk wao kama kibaka ! Kwa mawazo yako utasema wajinga, viongozi wetu ni lazima wafanyiwe ivyo ili waogope kuchakachua na ujinga mwingine wa kuchakachua matokeo .
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Napata picha kwamba ccm haikubaliki.
   
 18. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #18
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  safi sana ningekuwepo ningerusha japo moja.imeniboa watu wanawatetea wenyewe kazi kuhongwa buku2???haya hizo zitatatua matatizo waliyonayo??aaa bora wangewavunja meno cku ingine wangekataa kusombwa kama kokoto.
   
 19. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #19
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hata mimi ningekuwepo ninge warushia mawe tu. Njaa zao ndio zinatutesa hivi sasa
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli basi ujuwe hao ni wanazi wa chadema waliofanya huo uhalifu tena utakuta ni watu wa Kaskazini. Huko kimara mabondeni ndio waliojazana huko.
   
Loading...