Message za CCM kwenye simu za mkononi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Message za CCM kwenye simu za mkononi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by javascript, Jun 10, 2012.

 1. javascript

  javascript Senior Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wadau wa jamiiforums,
  Leo bila ya woga naomba niseme yaliyonikuta: bila ya kujali wepesi au uzito wa suala hili.
  Kuna SMS imeingia kwenye simu yangu ya mkononi nayo ipo hivi;

  Sender:CCM
  'CCM ipo imara. Watanzania tusikubali kuweka rehani umoja na amani ya nchi yetu'

  Hii message imetumwa kwa malengo gani? TCRA inaruhusu masuala kama haya? Naomba nieleweshwe kwa wanaoelewa haya maswala vizuri.
   
 2. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,096
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Mkuu wamezoea kuvunja sheria hao. We unadhani traffic wote walikuwa likizo leo hadi magari ya mizigo yakapakiza watu tena mjini?
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hiyo msg hata mimi niliipata....tena sio moja....zilikuwa zinaingia kama mvua.....nimeghadhibika sana....ikabidi nipige huduma kwa wateja wakanieleza jinsi ya kublock.....ni upuuzi mkubwa sana.....
   
 4. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  kuna vitoto wanavitumia na kuvipa mamia ya mamilioni kufanya hivyo

  kumbuka JANUARY yuko wizara inayosimamia TCRA, na anahusika na VODA ile skendo ya dada mtu kugawa kivuzi kwa ajili ya kaka, na wanahusika na zile sms wakati wa 2010 campaigns na wanahusika kinamna na kale katimu kalikokua kanaushirikiano mkubwa na mtoto wa Janga na wanahusiana sana na kijana mmoja aliitwa shamte kwenye ile skendo

  na wanahusiana na wengi mno kwani kampuni ya voda ina board members ambao ni activ leaders wa CCM

  ukiipata delete tu, sms haiwezi kufuta facts
   
 5. Master jay

  Master jay Senior Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tuelekeze jins ya kublock na sisi
   
 6. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wameshaishiwa sera hawa!
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  wanajambamaputo
   
 8. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  hy massage ina ubaya gani? Kama ujumbe huutaki c ukae kimya?,hulazimishwi.
   
 9. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  TCRA na CCM ni kama vile chupi na makalio kwani havitengamani, kumbuka wakati wa uchaguzi kulikuwa na message nyingi sana za namna hiyo na watu wakalalamika saaana lakini hakuna ufafanuzi wowote toka TCRA mpaka leo hii, Sijui tuwatukanie nini ili wajue watu hatupendi huo mchezo wao
   
 10. BINARY NO

  BINARY NO JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,778
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  CCM=g=9.8m/s.......i mean freefall of gravity force...Hizi ni nyakati a mwisho kwa Magamba tutegemee uvunjifu mkubwa wa amani na sheria za nchi hasa ktk hizi nyakati zao za mwisho...RIP magamba
   
 11. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Lengo la serekali halikuwa kudhibiti matumizi mabaya ya simu bali kutumia mianya hii kutisha wananchi. Ni nani karuhusu simu ya mtu kupokea ujumbe fulani bila kuwa na makubaliano! Mfano mimi nikitaka kumtumia Preta sms ni lazima tuwe tushakubalian kupeana namba! Sasa ccm wamepewa na nani namba zetu? Ni uvunjwaji wa sheria!
  Secondly, kama wewe ni imara una sababu ya kujitangaza wewe ni imara! Walioimara huonekana na sio blahblah hapa.
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Kufa ni lazima,amani ili nyie wachache muendelee kula jasho letu hatukubali bora ivunjike
   
 13. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Nani analipia gharama za message hii? Anapata wapi hizo pesa? Kodi za mtanzania? Je matumizi haya ya fedha yanamfaidia nini mwananchi wa kawaida.

  Je kuna amani bila kutenda haki? Je kuna kutenda haki bila kuwa na mgawanyo mzuri wa rasilimali za
  Taifa?

  Je Umoja unajengwa kwa kuongeza tofauti kati ya viongozi na waliowachagua? Je matabaka ya walionacho na mafukara ndio umoja tunaoutetea.

  Tafakari!
   
 14. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  USHAURI
  vyama vingine navyo vifanye hivyo,viende VODA ma TIGO ama mtandao wowote ule na viingie mkataba waandae slogan nzuri na waingize ktk mtandao ili watu waweze kutumiwa ktk simu zao

  na kama TCRA itakuja juu basi hapo ndipo tunaweza kuhoji kwanini?
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sasa kwa nini wanikumbushe kuhusu marehemu kuwa yuko hai?
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  unatuma neno STOP ALL (kwa herufi kubwa) kwenda #15622
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Suala ni kwa nini wanitumie madudu nisiyotaka kuyaskia? voda nao was...n..
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Eeee Mungu naomba uniepushie mbali na huu upuuzi,maana nahis naweza kukapiga chini na kupasua ka kimeo kangu
   
 19. Mwanaukweli

  Mwanaukweli JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: May 18, 2007
  Messages: 4,451
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Wote ambao hampendi kupokea ujumbe huu, mnaweza kuuzuia kwa kutuma neno STOP ALL (kwa herufi kubwa) kwenda #15622
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkubwa!yaani mimi itakuwa kama vile nimepokea msg ya msiba nadhani naweza pasua sim yangu,sitaki kuona,kusikia,kuhisi wala kuonja upuuzi wowote ule kwa namna yoyote ile ya kuhusu CCM
   
Loading...