Wanyamwezi kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanyamwezi kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rweye, Jun 10, 2012.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,053
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Ikiwa ni kamda nimekaa unyamwezini nimeshindwa kuelewa kabisa tatizo nini kwa ndugu zetu hawa

  Nimejaribu hata kuulizia tofauti na mikoa mingine Wanyamwezi mbona ngoma zenu za asiri hazichezwi huku,kusema kweli sijawahi ama kusikia wala kuona ngoma za kinyamwezi huku Tabora,tatizo ni nini?hata kwenye kipindi cha ngoma za asiri TBC sijawahi ona ngoma zao,nini tatizo,ama hamna ngoma za asiri

  Tuje kwenye mavazi ya asiri,nako nikauliza,yenu ni yapi?majibu yakawa ni mengi lakini kusema kweli sikupata jibu haswa,nachokiona ni mavazi ya kiswahili madila,shanga,kuvaa vipini puani,kujichora mikono na miguuni

  Naombeni wana Jf mnisaidie,hawa watu utamaduni wao ni upi ama hawana kabisa?
   
 2. J

  Juma123 Senior Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Ngoma as ili yake ni Tabora, uliza kwani ni marekani kunaitwa unyamwezini, chezea wanyawmwezi weweeeeee!!!!!!
   
Loading...