Kumbe kuna mgao wa umeme?

measkron

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,782
2,406
Umeme umekatika kama lisaa sasa hapa mjini Moshi, kwa kazi niliyokuwa nikifanya inayohitaji umeme ilinilazimu kupiga simu customer service hapa mjini ili kujua na ndipo nilipopewa jibu kwamba ni mgao, na utarudi usiku ama kesho. Ilibidi niulize, mbona hamkutangaza tukajua ratiba? Nikajibiwa, we hujui siasa za nchi hii, na kukata simu. Najiuliza, siasa ndo sababu ya kuficha ukweli kuwa kuna tatizo na yabidi kuwe na mgao na watoe ratiba? Tanesco njooni mjibu hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom