Kivuko cha Kigamboni kuna UFISADI Mkubwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kivuko cha Kigamboni kuna UFISADI Mkubwa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shark, Jun 10, 2012.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Wadau,

  Niko kwenye Panton hapa navuka from Kigamboni.

  Nimepita keenye Foleni pale walipokodishiwa Suma Jkt ni Ufisadi wa hali ya juu

  Pale getini kuna njia mbili, ya kushoto ambayo ndio ya kawaida, na ya kulia ambayo hupita wanaokuja kigamboni, au wanaokwenda lakini kwa dharura.

  Dharura hii imekua ikitumika visivyo ambapo muda huu nomeshuhudia gari hata zisizo na dharura zimepita pale just kwa kurusha hela dirishani . Nimeshuhudia zikipita gari takriban 5 kwa style hiyo na kutuacha sisi tuliokaa foleni muda mrefu tukipita njia ya kawaida ambapo nikushoto.

  Kana kwamba haitoshi, kufika kwenye kukata ticket, nimepewa ticket robo ambapo sijui robo 3 ingine iliyobakia imekwenda wapi.
  Possible hata ticket moja wanachaniwa hata watu watatu tofauti!!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,349
  Trophy Points: 280
  Kataa CCM uepukane na kero
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ndio nchi yetu hio hakuna msimamizi ..wewe fikiria tu uhanithi huu unafanyika hatua chache tu kutoka ikulu ya kikwete sasa huko Ruvuma kuna hali gani, serikali yote imeoza wakubwa wanaiba wadogo wafanyeje?
  na juzi alikuja mtu mwingine na thread ya kuhusu sehemu hio hiyo lakini Maghuli hajaona kuwa ni kero labda bado yuko kwenye mikutano yao ya kuvaa uzalendo kitu ambacho ni jokes kwetu
   
 4. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  hahahahha.kwa hizi TGSD cdhan km yataisha hyo....
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  unashangaa hiyo ya rushwa kuliwa karibu hivyo je wale vijana wanaovuta bangi pale jirani na ikulu pembeni ya soko la kuuzia samaki, nadhani moshi unamfikia jk na pm wake na utakuwa umewaathiri kwa kiasi fulani
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Pitia kongowe au nunua gari linalopita nchi kavu na majini(hybrid).
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  ndo avuke na hybrid pale?
   
 8. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,097
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  MOST LIKELY. Halafu inawezekana job description ya walinzi wa ikulu haina kukamata wavuta bangi. So it's not an issue to them.
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,139
  Likes Received: 7,391
  Trophy Points: 280
  Ntapata wapi hili gari??
   
Loading...