Wafanyakazi wa Airtel mwaendekeza nJaa wateja tumewachoka! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafanyakazi wa Airtel mwaendekeza nJaa wateja tumewachoka!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NIMIMI, Jun 8, 2012.

 1. N

  NIMIMI Senior Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamvi poleni kwa majukumu! Kuna tabia wanazionesha na kufanywa na wafanyakazi wa kampuni ya Airtel Mlimanicity hazitufurahishi wateja. Vocha zao hazina ubora ukikwangua namba zilizofichwa ili kuongeza salio zinachubuka na baadhi ya namba kutosomeka, Lakini cha ajabu tangu nianze kuwarudishia ili waniangalizie na kuongeza salio naambiwa niondoke watanitumia muda wa maongezi chakushangaza na kuudhi hadi sasa hakuna muda majibu yeyote.
  Na nikifuatilia naambiwa bado, sasa hayo majibu ya bado hadi lini ama mmetumia pesa zangu, mbona mnapoteza uaminifu kwa kampuni iliyokuwa ikiaminika hivi aliyeko mlimanicity kufika makao makuu ya Airtel inamchukua siku ngapi? Kweli nimeudhika sana na zaidi naonekana sio mwaminifu ukizingatia kuna vocha ambazo niliagiziwa na watu wanadhani nimezitumia.
  Hii haitoishia hapa jamvini lazima nipeleke mbali zaidi hata kwa waziri wa mawasiliano nitafika jamani uwizi mlo ufanya hamjatosheka hadi kuiba waziwazi? Wanajamvi kama wahusika wamo humu ujumbe huu uwafikie Tabia hizi zinakera mno na waufanyie kazi. Wanajamvi msaada wenu tafadhali.
   
 2. m

  mjanjamimi Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wasilisha malalamiko yako TCRA. Kama una madai mengine kutokana na usumbufu yaweke wazi.
   
 3. k

  kaeso JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuhusu vocha kuharibika zinapokwanguliwa hilo ni tatizo la nchi nzima.
   
 4. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
Loading...