Rose Chitara na Asia Mohamed wako wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rose Chitara na Asia Mohamed wako wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Udaa, Jun 11, 2012.

 1. U

  Udaa JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2012
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 727
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu naombeni kufahamishwa,wale watangazaji wawili wa kike wa Radio One.ROSE CHITARA NA ASIA MOHAMED wapo wapi?maana kitambo sn hewani siwapati.NAWASILISHA
   
 2. k

  kaeso JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wewe unawatakia nini wake za watu?
  Rose Chitala alikuwa 100.5 Times FM huyo Asia Mohamed watakueleza wanaomfahamu.
   
Loading...