ITV na nyinyi pia mmenunuliwa au...............? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV na nyinyi pia mmenunuliwa au...............?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Livanga, Jun 10, 2012.

 1. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Imeniwia vigumu kuamini nilichokiona leo ila ndio ukweli. ITV walitangaza habari kuhusu kifo cha muasisi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo na mara wakapata kigugumizi then wakaweka habari ya maji. At the end nilitegemea wangeomba msamaha lakini haikuwa ivyo. Sasa swali langu ni je wamepigwa marufuku kutangaza habari za CDM au ni uwoga kwa chama tawala kwani pia katika habari hiyo walisema chadema wahoji kwanini CCM hawakutoa majibu kuhusu swala fulani(sikulisikia vizuri)

  MY TAKE KWA VYOMBO VYA HABARI:
  Tunapo andika habari kuhusu chombo fulani cha habari haina maana kwamba inatoka kinywani/kichwani kwa anayeandika bali ni mtizamo wa watanzania wengi kwa chombo husika. So please jirekebisheni tanzania ya sasa sio ya zamani.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu tutende haki kwa wenzetu ITV.Ni kweli kulikuwa na muingiliano wa taarifa.Hata hivyo mwishoni ITV wametoa taarifa mbili za CDM.Moja mkutano wa Dr Slaa huko Ruangwa na taarifa ya Mnyika kuhusu mazishi ya Bob Makani.Na taarifa zote zilipewa muda wa kutosha kabisa.
   
 3. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  ...mi mwenyewe nimeshangaa na ckuelewa kwnn imekuwa vile?au makusudi?
   
 4. Christine1

  Christine1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 12,278
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280
  ...ok,asante kwa kutujulisha
   
 5. Livanga

  Livanga JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2012
  Joined: Apr 15, 2010
  Messages: 458
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Ishu sio kutoa habari bali ile ambayo ina ujumbe fulani kwa Serikali au chama tawala wanaipotezea kama iyo nina imani ilipotezewa baada ya kuwa na kipengele cha "Chadema wahoji kwanini CCM hawajajibu hoja fulani kutoka kwa wananchi katika mkutano wao".
   
 6. k

  kaeso JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na nyie mmezidi kulalamika, mengine ni matatizo ya kibinadamu na kiufundi. Tatizo kidogo tu mmenunuliwa......!!
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Naamini lilikuwa tatizo la kiufundi tu....Kosa kubwa la TV zetu ni kutokuomba radhi watazamaji pale linapojitokeza tatizo la kiufundi...
   
Loading...