Kenya wapata msiba mzito! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya wapata msiba mzito!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asango, Jun 10, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nchi ya kenya imepata msiba baada ya waziri wake SAITOTI na watu wengenine sita kufariki kwenye ajali ya helcopter ya jeshi.hao sita nao wanasemekana pia ni viongozi wa serikali.nawatakia uvumilivu wakenya kwa kipindi hiki kigumu.R.I.P wote waliokumbwa na mauti
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika Comrade huu ni msiba mzito sana Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu walichonacho ndugu zetu
   
 3. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  I hope sio hujuma wala wale jamaa wa Somalia! Nawapa pole Wakenya!
   
Loading...