Buriani BOB MAKANI.

Buriani BOB MAKANI.

Emmanuel_mtui

Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
56
Reaction score
13
Wadau wa jf nilikuwa naangalia habari hapa chanel ten, kuna habari kuwa mwanaharakati Bob Makani amefariki dunia na cdm imetangaza wiki ya maombolezezo.
 
R.I,P kamanda wetu muasisi wa Cdm,utakumbukwa daima
 
Back
Top Bottom