je changamoto zipi za kimaendeleo vijana wanazozipata katika taifa lao? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

je changamoto zipi za kimaendeleo vijana wanazozipata katika taifa lao?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king zamunda, Jun 15, 2012.

 1. k

  king zamunda New Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiwa kama kijana mwenye mtazamo tofauti katika maisha yako inabidi utambue nguvu kazi yako katika kuletea maendeleo taifa lako, hii ni pamoja na kujua wajibu wako katika nafasi ulionayo kwa mfano; katika nafasi ya kazi yoyote unayoipata hakikisha unajituma na kuonyesha mchango wako wa mawazo, ufanisi na ubunifu wa kazi. Ikiwa wote tutatumia vilivyo nafasi tunazopata basi maendeleo kwa taifa nzima yatawezekana basi wewe kama kijana nakusihi uonyeshe mfano mzuri katika jamii..
   
Loading...