INTELLIGENCE vs UMASKINI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

INTELLIGENCE vs UMASKINI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kijakazi, Jun 14, 2012.

 1. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Mimi nina swali ambalo napenda kupata maoni ya watu humu!

  Je kuna uhusiano wowote kati ya uwezo wako wa kiakili (Intelligence) na hali yako ya kimaisha? nikimaanisha kwamba, Je, umaskini wako au hali yako ya maisha uliyonayo inachangiwa na uwezo wako wa kiakili (Intelligence)?

  Je ni kwa nini watu wengi sana wanashindwa kuelewa vitu rahisi mno katika maisha? kwa mfano mtu anaposti humu anaandika kwamba bajeti ya Kenya ni kubwa kuliko ya Tanzania.... sasa kwa mtu intelligent ataelewa moja kwa moja kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko wa Tanzania hivyo ni sawa kuwa hivyo! ila kama ingekuwa kinyume chake ni sawa kwa yeye kutandika humu kutafuta ufafanuzi!
   
Loading...