Elimu ya juu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya juu Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sojochris, Jun 14, 2012.

 1. S

  Sojochris Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wadau hivi ni kwanini elimu ya juu Tanzania haimuwezeshi mhitimu kujiajiri pindi amalizapo masomo yake,matokeo yake anazunguka mtaani miaka na miaka na vyeti vyake anaishiwa kudhalilishwa na thamani yake kama msomi haionekani tena? Mfano muajiri anahitaji wafanyakazi 10 anaita watu 150 au 100 kwa usaili huu ni udhalilishaji na kucheza na akili za watu.Ni kweli kwamba tunasoma ili tuajiriwe with low pay maisha yetu yote? Na je course na mitaala iliyoko katika vyuo vyetu are they relevant kwa mazingira ya nchi yetu? And what is our specialization as a nation?Duniani,Africa au Africa mashariki na hata ndani ya Tanzania yenyewe tunasifika kwa kutoa wataalamu wa aina au fani gani? Im stand to be corrected endapo sipo sahihi lakini maoni yako ni muhimu zaidi
   
 2. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naomna niwe mchangiaji namba1 hapo tanzania inakabiliwa na tatizo la mfumo, mtaala,vitendea kazi na hata vitabu na walimu pia nishida sasa unategemea nini km waalim hutokea daraja la chini, nahao lecturers wanavitabu vina mifano ya mwaka 1980,75 kikiwakimya 1999 unadhani kuna wazo jipya nakila mwalim anapotoa mfano darasani utaona anasema ukiwa kazini serikalini .... hakuna hatammoja anasema wewe mwenye kampuni bisha kama nimbishi hii ndio tanzagiza,aka tanzania yenye giza hiyo
   
 3. S

  Sojochris Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  CHANDIRA unadhani ni kwa nini hili suala halipigiwi kelele,je watanzania tumeridhika? Ni kwa nini wadau hawalioni hili na hali inazidi kuwa ngumu kwa wahitimu wetu wa elimu ya juu kuendelea kuwa ombaomba na watumwa wa wachache?
   
 4. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Samahani ila sikukatishi tamaa kwa haya nitakayosema. Elimu ya Tanzania is for Tanzania only. Hata ukimaliza UDSM you are still irrelevant/incompetent na mtu aliyesoma nje ya nchi when it comes to job competions hapa Tanzania na hata nje ya nchi.

  Elimu ya hapa nyumbani is bogus, badala ya kukufundisha uelewe wao wanakufundisha kukariri. Na ndiyo maana unaona hata mwanafunzi wa UDSM hajuwi to express himself/herself in english katika job interview.

  Mtu anaulizwa swali la ngumbalu anaanza kutetemeka na kujibu kitu cha hajabu kabisa. Kutokana na mfumo huu wa elimu ndiyo maana unakuta hata wale walio bahatika kupata ajira, they are NOT competent. Badala ya kufanya kazi, wao wanakimbia kazi.

  As an employer, do you give a job to an incompetent employee or an employee with confidence?
   
 5. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,110
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Sojochris; utampigia kelele kiziwi, inawezekana kweli? Hakuna Mtanzania aliyeridhika na hili, tatizo la hapa Bongo ni kwamba watu ni waoga sana kuandamana kama nchi nyingine Afrika. Unaweza kupanga na washikaji muandamane, then mwisho wa siku utajishitukia uko pekee yako wale mliopanga nao muandamane wameshakuchomea ukamatwe. Kama wasemavyo wakenya kuhusu sisi Watanzania; maneno meni ila hakuna kazi. It's true. Tunapenda kuongea tu lakini hakuna utekelezaji. Kikwete tumemchague sie wenyewe madarakani. Embu angalieni katika miaka yote hii yuko madarakani, kuna nini alichokifanya? Alitudanganya maisha bora kwa kila Mtanzania, sasa ile kauli yake iko wapi? Mbona katika utawala wake sie Watanzania ndiyo tunateseka zaidi shinda utawala wa rais yeyote yule. Na kila anapohutubia tunampigia vigelegele kwa uongo anaotupa huku akitusanifu. Mda umefika lazima tujipange sisi vijana, watoto wa taifa la kesho, na wazee kuupinga huu utawala wa JK. Tunateseka!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. S

  Sojochris Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mkereketwa mambo uliyaongea ni sahihi kabisa,mbaya zaidi hata vyuo vikuu vinavyozidi kuanzishwa bado mambo ni yaleyale ofcourse hii ni changamoto sasa nini kifanyike kuokoa kizazi hiki cha wasomi wasio na ajira na wanaoishia kulipwa mishahara ya 300,000 hadi 500,000 na hawa waajiri then serikali inajisifu inatoa ajira kwa watanzania.Kwa kweli inahitaji uvumilivu wa hali ya juu na hekima katika mjadala huu,Tafadhali wadau tusaidiane kupata solutions hapa na je ni nani wa kulaumiwa na ni kwa nn vitu vya kijinga jinga vinashabikiwa sana kuliko mambo ya msingi kama elimu?
   
Loading...