Msaada: Jinsi ya kubadili maji chumvi ili yawe maji laini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya kubadili maji chumvi ili yawe maji laini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bitabo, Jun 14, 2012.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wadau.

  Nyumbani kwangu mabomba yanatoa maji ya chumvi japo huwa yanaingia kwenye reservoir then na pump kwenye tank ndo yanaingia ndani.
  Sasa natafuta utaalam wa kuyabadili haya maji chumvi ili yawe maji laini (bila chumvi) au maji baridi kama yanavyofahamika kwa wengine.

  Ntashukuru zaidi kama mtanishauri na side effects kwa njia mtakazonishauri.

  Nawasilisha
   
 2. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,017
  Likes Received: 2,349
  Trophy Points: 280
  Bitabo, mbona unaleta challenge kali kiasi hiki! Zaidi ya "evaporation", kuchemsha maji yako na kuchukua mvuke, sijui kwa kweli. Labda uyagandishe halafu kuyayeyusha kwa kiwango fulani, ambapo chumvi inakuwa katikati ya barafu na utakapokuwa unayeyusha barafu unaacha ile barafu ya kati isiyeyuke na kuitupa kwa kuwa ina chumvi kali.

  Lakini si unaona njia zote hizi zaweza kuwa na gharama zaidi ya kutafuta maji mengine!
   
 3. wiseboy

  wiseboy JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,562
  Likes Received: 1,603
  Trophy Points: 280
  kasome kitabu cha 4m two, methods of separating mixtures, simply chemsha maji, yakitoa mvuke, vuna huo mvuke kwa kifaa baridi mfano chupa....hebu google methods of separating mixtures uone had picha.
   
Loading...