Katiba mpya ina wajibu wa kutupatia rangi nyekundu kwenye bendera yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya ina wajibu wa kutupatia rangi nyekundu kwenye bendera yetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by David webb, Jun 14, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. D

  David webb Senior Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukombozi wa kuwapinga wakoloni katika kudai uhuruTanganyika umeanzia mbali sana hata kabla ya TANU kuanzishwa.historia inaeleza kuwa walikuwepo viongozi mbalimbali kama kina chifu mkwawa,chifu mirambo wa Tabora,Hassan makunganya,kinjeketile ngwale huyu umaarufu wake ilikuwa ni katika vita vya majimaji kule songea.hawa wote walikubali kuuwawa na wakoloni kuliko kukubali kutawaliwa katika ardhi zao.leo hii tunaambiwa katika jitihada za kuwaondoa wakoloni nchi hii haikumwaga damu hata kidogo na ndio sababu hata bendera yetu haina rangi nyekundu kuonesha damu ilimwagwa na machifu hawa dhidi ya ukoloni.hii ni dhuluma kwa machifu wetu waliopigana kufa na kupona katika kumuondoa mkoloni. Tume ya katiba hili mna wajibu wa kulifanyia kazi.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...