Usomaji wa Hotuba ya Bajeti 2012/2013

Maamuma

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
848
303
Hotuba ya Bajeti ndo inasomwa sasa lakini usomaji wa Mheshimiwa Waziri wa Fedha unaninyima raha. Nakosa mtiririko mzuri kwa sababu anakwamakwama sana na kukoseakosea maneno. Nimesema tu just to get it out of my chest. Inanikera.
 
Bajeti hii inaonekana ni ya kwenye vitabu tu. Nafikiri waziri ame copy na ku paste tu bajeti za nyuma. Utagundua kwamba vyanzo vya pato la taifa ni vilevile vya kila mwaka, nafikiri ingekuwa ni hekima waziri aeleze kwanza taifa lina hazina ya pato la taifa kiasi gani, na ili kutathmini vema bajeti kuna haja ya kila mtu kutambua kwanza utekelezaji wa bajeti ya 2011/2012 ilifanikiwa kwa kiasi gani. Bajeti hii inaonekana wazi si 'people centred' kwani bajeti inapozungumzia kilimo mara nyingi wanalengwa wale akina mfuko mkubwa, ni bajeti ya kundi dogo. Hai ainishi ni namna gnai malengo yatafikiwa na kwa vigezo vipi, hai ainishi hazina ina kiasi gani mpaka sasa. Imejikita katika utegemezi zaidi. Hakika tumejiendekeza sana. Kuomba omba hakutatuweka huru
 
Hotuba ya Bajeti ndo inasomwa sasa lakini usomaji wa Mheshimiwa Waziri wa Fedha unaninyima raha. Nakosa mtiririko mzuri kwa sababu anakwamakwama sana na kukoseakosea maneno. Nimesema tu just to get it out of my chest. Inanikera.
Maamuma ninaisikiliza hii Budget online redio mambo arusha. so natumia head phones. huwezi amini nisikia muda waziri kasita then akanongonezwa na mtu. yaani kama m2 aliye kariri shairi.
 
Last edited by a moderator:
hata hivyo kajitahidi sana imagine ingekuwa wewe kusoma kwa sauti in two hours n ahalf bila kupumzika...na utambue huyo sio mwandishi wala msoma taarifa za habari....!hata hivyo ni mara yake ya kwanza!mkumbuke yeye ni binadamu na sio machine ati...
 
Hotuba ya Bajeti ndo inasomwa sasa lakini usomaji wa Mheshimiwa Waziri wa Fedha unaninyima raha. Nakosa mtiririko mzuri kwa sababu anakwamakwama sana na kukoseakosea maneno. Nimesema tu just to get it out of my chest. Inanikera.
Mimi niifikiri ni kipindi cha Ze comedy. Kwa mwanzo huu, inaonekana jamaa atakua mweupe kuliko aliyemtangulia
 
Back
Top Bottom