Naomba Kuuliza-NI lazima Bajeti za Mataifa hasa EAC kusomwa siku moja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Kuuliza-NI lazima Bajeti za Mataifa hasa EAC kusomwa siku moja?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gugwe, Jun 15, 2012.

 1. Gugwe

  Gugwe Senior Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Katika kutafakari tu ni makubaliano yapi au msingi upi unaofanya bajeti za nchi mbalimbali hasa afrika mashariki kusomwa siku moja na takribani kwa muda unaofanana? au kuna sababau za kiuchumi? kisiasa naomba kueleweshwa katika hili kwani kwa siku ya jana nimesikia bajeti ya Tz, Kenya na Uganda kusomwa kwa siku moja na angalau kwa muda unaofanana.
   
Loading...