Jeshi la polisi tanzania kujifunza mbinu mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeshi la polisi tanzania kujifunza mbinu mpya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kitenuly, Jun 12, 2012.

 1. k

  kitenuly JF-Expert Member

  #1
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jeshi la polisi mnajifunza nini hapa? mnapaswa kuwa polisi rafiki, siyo polisi adui, rejesheni imani kwa watanzania muwe rafiki kama mnavyoona ktk picha. hawa ndo waajiri wenu wa baadae 2015, jifunzeni hilo

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nzuri sana nimeipenda,,Zitto alikuwa anachungulia nini?
   
 3. M

  MKONGWE 12.com Member

  #3
  Jun 12, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbinu ya kwanza: Wakome kupokea RUSHWA hiyo haihitaji kwenda Shule tena!
   
 4. M

  MKONGWE 12.com Member

  #4
  Jun 12, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Si ndio zake hizo mnauliza jibu?
   
 5. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kivipi mkuu fafanua!
   
 6. N

  Njoka Ereguu JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 822
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Hivi hawa viongozi hapa wanafurahia nini? au wanafurahi kuwa wameweza kupata fursa ya kukutana, nilidhani hapo ni msibani hivyo nyuso zao pia zilitakiwa kuonyesha ishara ya hiyo, lakini naona kinyume chake.
   
 7. Tukundane

  Tukundane JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 8,314
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Wanaotoa rushwa wakome kabisa kutoa rushwa kwani kama siyo wao kutoa rushwa kwa polisi wangepokea kwa nani?.
   
 8. chris n

  chris n Member

  #8
  Jun 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Wananchi waache kutoa RUSHWA Police watakosa cha kupokea. hata hivyo inastaajabisha kutoona wala rushwa hatari na kuwaona polisi, wangekuwa wanakula si wangekuwa matajiri? unadhani watalingana na TRA! TANROAD!, HALIMASHAURI ktk tender za miradi mbalimbali! Hata taarifa ya haki za Binadamu watafiti wake nadhani waliwahoiji wapiga debe ndio wakapa majibu waliyotoa.Walaji wanakula Billions&Million wee unaongelea police.
   
 9. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  ANZA WEWE KUACHA KUWAPA RUSHWA POLISI, NAO POLISI WATAKOMA KUPOKEA RUSHWA. UKIMNYOOSHEA MWENZIO KIDOLE KIMOJA NA WEWE UJUE VIDOLE VINNE VINAGEUKIA KWAKO. WATCH OUT!!!!. :painkiller:
   
 10. S

  Same ORG JF-Expert Member

  #10
  Jun 12, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usipotoa rushwa usubiri mlolongo wa kesi utapewa itakucost zaid hawa jamaa na hii kazi ya polis ni laana tu ya m.mungu. polisi sio kazi wengi wamefanya fainal wanaombaomba hata kama alikua na nyota3.
   
 11. M

  MKONGWE 12.com Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aroooo.......... wewe ni mmoja wao nini?
   
 12. M

  MKONGWE 12.com Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Swala sio kulinganisha nani anachukuwa Zaidi! Rushwa ni Rushwa, twambie kuwa Polisi unaokutana nao wewe ni Watakatifu.
   
 13. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  arooooo...........ukweli unaumaaa ...... Teh...teh.....teheeeeeeeeeee!!!
   
Loading...