Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anayeongea ni mary Nagu wairi wa uwekezaji na uwezeshaji
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimepata ya habari ya kuwa kuna mgogoro kati ya wanafunzi na Uongozi.Madai mojawapo ni kuhusu kiwango halai cha ada.Nasikia FFU wameshafika. TCU tusaidie kukagua hivi vyuo na kurekebisha ili...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
nasema nanyi walimu,mnaoniangalia matendo yenu ya sumu,mi' nimeshayasikia bado hamjanipata?nimetumia tungo tata? kweli kupanda mchongoma,na kushuka ndio ngoima ninapatwa na uchungu,nikiwacheki...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukiisikiliza clouds FM katika kipindi chao cha Power breakfast na Jahazi utawasikia wakitumia muda mwingi kuipigia debe budget ya serikali iliyowakilishwa na kuwaponda wabunge wanaoipinga. Hivi...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mimi kama mtanzania safi,,,napenda serekali ifanye sensa ya watanzania walioenda kwa babu wa loliondo.hii itasaidia serekali kukusanya kodi(paye)kwa mapato yote aliyopata babu,,,,,
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Usiku huu nikiwa maeneo ya Gongola mboto katokeza jamaa mmoja amelewa tilalila. Akakatiza pale tulipokuwa tumekaa, ikabidi tumpe ushauri wa bure kwa jinsi alivyokuwa anapepesuka. Tukamshauri...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mmiliki wa wiki leaks bw,asanja,, dunia na nchi tajiri duniani zimeendelea kumuandama kila kukicha na kumfitini,, ambapo hivi sasa anakabiliwa na kesi ya kubaka na vitendo na vya uzalilishaji...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili kudhibiti Madawa ya Kulevya. 1. Jeshi la Polisi liwakamate mateja wote waliozagaa barabarani. 2. Mateja waliokamatwa waulizwe, wamenunua wapi unga, wanataja 3. Maretailer waliotajwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu kumekuwa na malalamiko kuwa baadhi ya makampuni, NGO, Mashule, Taasisi, Viwanda na sehemu zingine za kazi kumekuwa na ongezekeo kubwa la wafanyakazi wa Kigeni, hali inayoashiria...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
10.The lions of Njombe We start this list with the worst case of man-eating lions in History. It was not a single man eater, but an entire pride that preferred human flesh over any other kind...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ngugu wanaJF, Mtandao wa gazeti tajwa hapo juu limezuia habari zake zikikopiwe, hii imekaaje? mbona mitandano ya magazeti yote hapa nchini na sememu nyingi katika dunia hii hawana sheria za ajabu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
:juggle:Naskia eti mshahara wa madaktari umeongezwa kiduchu sana kiasi cha kwamba hadi madaktari kutangaza mgogoro? Nani ana habari kidogo au chini ya uvungu yenye kujua kiasi walichoambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BBc limepokea na kutoa maelezo kamili kuhusu wanawake wa Uganda wanavyokuwa watumwa wa nyumbani nchini Iraq pamoja na hadithi ya kustaabisha ya jinsi walivyotoroka. Wanawake wa Uganda 100...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waliojiita viongozi wa dini na kauli yao kuhusiana na kadhia ya Mnyika bungeni, kama huo ndiyo msimamo wenu kwa hakika mtupelekako siko. Udhaifu ni sifa ya binadamu hata kama binadamu huyo ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upepo huu si mwingine bali wa kufungiwa kutumia Jf baada ya kula ban ya mwezi mmoja. Sababu ya kufungiwa ni baada ya kuandika kuwa alah ndiye shetani mwenyewe katika post yenye tittle ya soma hapa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo majira ya saa 8 mchana nimeshuhudia mwanamume mtu mzima(kama miaka 30 hivi) akiwa amekaa kitako kwenye mchanga huku akimwaga machozi kama vile mtoto mdogo aliyekosa kutimiziwa ahadi ya...
4 Reactions
58 Replies
5K Views
NImepata uwanja mzuuuurriiiiiiiiii tena tambarare, umenigarimu sana....Namshukuru Mungu. kwa wale wanaofahamu, nitapata wapi architect mzuri anayechora ramani za nyumba hapa bongo? na kwa bei...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamani, napita hapa tegeta kuna ajali mbaya imetokea, inasemekana watu 5 wamepoteza maisha hapo2, lori la mchanga limegonga sehemu ya baa na kuua. Mwenye habari zaidi tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
naomba mnijuze hotel nzuri na zenye kutoa huduma nzuri si mbaya km mtaniambia na bei zake zikoje.pia maeneo ambayo zipo pamoja bar nzuri kwenye nyama choma za uhakika. Natanguliza shukrani za...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
wanajf kwa wale waliopo ngorongoro kuna taarifa kwmb kuna hotel ya kitalii inaungua.na tatizo liliipo ni ukosefu wa vifaa vya zima moto.waliopo karibu na tukio naomba mtupe taarifa zaidi!chanzo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…