Katiba na babu wa loliondo

CHEMPO

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
368
59
Mimi kama mtanzania safi,,,napenda serekali ifanye sensa ya watanzania walioenda kwa babu wa loliondo.hii itasaidia serekali kukusanya kodi(paye)kwa mapato yote aliyopata babu,,,,,
 
Si kila kundi linataka mambo yake kwnye uhesabuji wawatu...tume iongeze colum moja ya walioenda kwa babu
 
Bado ninasikia watu wanakwendaga tu!

Hivi bado huduma ni ya kikombe tu ile iliyokuwa inasifiwa?

Ama atakuwa ameboresha.
 
Sasa wivu wa nini tena kwa nini usiombe wahesabu wanaoenda makanisani au misikitini?

Anzisha dawa yako tuone kama utasema hivi.

Binadamu weye hakuna mengine ya kusema ukamfikilia babu?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom