Architect mzuri wa kunichorea ramani nitapata wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Architect mzuri wa kunichorea ramani nitapata wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hute, Jun 21, 2012.

 1. H

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,921
  Trophy Points: 280
  NImepata uwanja mzuuuurriiiiiiiiii tena tambarare, umenigarimu sana....Namshukuru Mungu. kwa wale wanaofahamu, nitapata wapi architect mzuri anayechora ramani za nyumba hapa bongo? na kwa bei gani...kama yupo hapa aseme na bei kabisa ili nisijemtafuta tukaanza kusumbuana bargaining.....
   
 2. lusubilo lucas

  lusubilo lucas Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unataka kujenga nn?
   
 3. k

  kaeso JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kuna jamaa anaitwa architect humu ndani, nadhani ndio mtaalamu. Akiiona hii atakuja.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  bamiza hii namba 0716050829
   
 5. C

  Chacharika Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Waweza pia bamiza no hii 0783 111 353 ni ya jamaa anajishughulisha na mambo hayo.
   
 6. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45
  Nadhani unatatizo la kuto kujiamini.
  Kwa jinsi ninavyojua si rahisi Archtect kukutajia bei ya kudesign bila yeye kusikia kutoka kwako unataka nyumba ya aina gani?. Then atakushauri iweje, itakuwa na vitu gani, and then atakuapatia bei ya kudesign ramani yako. Nadhani ungeweka specification zako kama kweli unataka upatiwe bei direct bila kusumbuana nao.
  Kumbuka nyumba hazifanani ramani. Na lazima ramani ya msingi itoke kwako hata kwa mawazo na ushauri tu maana hiyo ndo itakuwa mahali pako pa kustarehe hivyo lazima ujue unataka paonekaneje au paweje.
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Ukishamopata njoo utuambie bei yake ili tukushauri kama amekupiga au bei fair.
  Kumbuka pia unahitaji structural engineer. Mara nyingi architects huwa na structrural engineers wanaoshirikiana nao, so jiandae na kitu kama hicho.
  b.t.w unataka kujenga mitaa gani?
   
 8. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 232
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Ni PM kaka nitakufanyia bei nzuri sawa na bure!
   
Loading...