sir.JAPHET
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 699
- 133
mmiliki wa wiki leaks bw,asanja,, dunia na nchi tajiri duniani zimeendelea kumuandama kila kukicha na kumfitini,, ambapo hivi sasa anakabiliwa na kesi ya kubaka na vitendo na vya uzalilishaji,, mkazi huyo wa australia,,ametafutiwa visa vingi,,ili kukwamisha na kuweka vikwazo katika shughuli zake na za wikileaks kufichua na kutoa hadharani nyaraka za siri za balozi na serikali mbali mbali duniani kote,, na sasa ivi ameomba hifadhi uingereza lakini wanamuwekea vikwazo hata pa kujihifadhi,, yeye na familia yake,,, my take wana muandama ili waendelee kutufitini duniani na kutunyanyasa na kutupelekesha? na kutunyonya? au waendelee kutuzunguka na kutufanyia ujasusi bila sisi kujua na kujibebea rasilimali zetu kisiri chini ya kapeti,, na kufanya maovu yao asiwepo mtu wa kuweka wazi mambo yao kama alivyokua akiwafichua bwana asanja??:hatari: