Nimeichoka clouds fm kwa unafiki

Masabaja

Senior Member
Mar 4, 2012
139
23
Ukiisikiliza clouds FM katika kipindi chao cha Power breakfast na Jahazi utawasikia wakitumia muda mwingi kuipigia debe budget ya serikali iliyowakilishwa na kuwaponda wabunge wanaoipinga. Hivi Jerald na Kibonde mnashindwa kujua wabunge wenye uchungu wanakerwa kwa sababu wameyasema haya kila mwaka na serikali ya magamba haitaki kusikia. Jerald anasema Mnyika anatafuta sifa ya kutangazwa na vyombo vya habari, clouds badilikeni vinginevyo watu watawachoka ijapokuwa kwa sasa ni redio inayosikika na watu wengi watu watawachoka na mtajuta kuwa wanafiki.
 
Hiyo inaitwa blauzi female,safu yao kina kibonde,jihad(Gerard),devil(Diva),bibi twelve(B-twelve),madamme mchovu(Adam mchomvu)n.k,hapo unatarajia nin?let it r.i.p kwani ni uozo mtupu
 
kweli bwana CLOUDS WAMEANZA UNAFIKI.. WANAONGEA UDAKU.. MNO WAJIPANGE.E.. INAONYESHA KUOA UCCM PALE.. BORA CAPTAIN G,HABASH GADNER.. ARUDI TU KWENYE JAHAZ TAFADHALI SANA.. NA ASUBUHI B,FAST.. PALE ABAKI BONGE TU.. WENGINE WAZUSH...ALAFU MICHEZO WAKO POUA.. WAKINA SHAFI.. ILA VINGINE MAGUMASH WANAZINGUA TUU.. HAMNA JIPYA KWISHNEYYY.. TUMEWACHINJILIA OCEAN wajipaaaange...e.... Wagange njaaa mbele mbele..
 
binafsi jana kipindi cha p/breakfast kiliboa sana eti wanaona ni saawa mshahara wa mmbunge kwa mwezi kuwa 10mil? tena wanadai wao wanafanya kazi nzuri ni kweli kabisa waongezwe, jamani acheni unafiki na upotoshaji, hivi kuliko kimlipa mbunge 10 mil anayekaa na kupiga dmo tu bungeni na kula bata na kuku huku ukimsahau askari anayekesha usiku akimlinda , ama daktari ama mwalim anaye toka povu kwa kubadilisha fikra za watu.

jion kwenye jahazi kibonde ndo aliboa kabisa eti mbona watu wanahoji sana kuhusu ongezeko la mishahara mbona hao watumish wengine hawajahojiwa wao wanapata kiasi gani? tena akaisifia serikali kweli ikiboresha maslah ya mmbunge basi itamuongezea ufanisi mmbunge.

walikwenda zaid wakidai eti mmbunge ana majukumu mengi sana achilia mbali wale wanaokwenda kulia hali mbaya nyumbani kwake so ni vyema wakaongezewa, na wakasahau kuwa hata watumish wakawaida tu wanao watu kama hao wanaokuja kulia shida. Binafsi nafikir Ruge kaambiwa aipigie debe CCM na nahisi hao watangazaji wameahidiwa nafasi za kenye matawi si bure.
 
Tumeshachoshwa na malalamiko haya ya kipuuzi kila kukicha cloud vile Kibonde hivi, nyinyi ni wapenzi wa clouds na ndio maana mnasikiliza hiyo redio ya mashoga, wakiwakera wana page zao facebook na wana blog zao pelekeni malalamiko yenu huko. Fanculo.
 
Kwa kweli kuitumia media yao kupinga au kupotosha wananchi kwa kitu kinachogusa wananchi wote wanatia aibu Clouds FM,suala la bajeti kukosa vipaumbele vinavyomgusa mwananchi wa chini na kuwa na blah blah nyingi ni kitu kibaya halafu ni aibu kwa radio yao ambayo kwa sasa inafikia maeneo mengi ya Tanzania kuawa na agenda za namna kupitia watangazaji aina ya kina Gerald Hando.RAI nao wanapingana na wanaotoa mawazo tena vyombo vya habari kuwa bajeti hii inategemea pombe kupata kodi huu ni unafiki mkubwa.:embarrassed:

KATIKA MAISHA YA WATANZANIA HAKUNA MWANACHAMA WA CHAMA FULANI ANAYEUMIA BALI NI WANANCHI WOTE VYOMBO VYA HABARI VIEGEMEE KWENYE UKWELI.:sad:
 
Ndo strategy zao za kuwakamata wasikilizaji, ukitaka ku-prove jione unavyorudia kuwasikiliza
 
binafsi jana kipindi cha p/breakfast kiliboa sana eti wanaona ni saawa mshahara wa mmbunge kwa mwezi kuwa 10mil? tena wanadai wao wanafanya kazi nzuri ni kweli kabisa waongezwe, jamani acheni unafiki na upotoshaji, hivi kuliko kimlipa mbunge 10 mil anayekaa na kupiga dmo tu bungeni na kula bata na kuku huku ukimsahau askari anayekesha usiku akimlinda , ama daktari ama mwalim anaye toka povu kwa kubadilisha fikra za watu.

jion kwenye jahazi kibonde ndo aliboa kabisa eti mbona watu wanahoji sana kuhusu ongezeko la mishahara mbona hao watumish wengine hawajahojiwa wao wanapata kiasi gani? tena akaisifia serikali kweli ikiboresha maslah ya mmbunge basi itamuongezea ufanisi mmbunge.

walikwenda zaid wakidai eti mmbunge ana majukumu mengi sana achilia mbali wale wanaokwenda kulia hali mbaya nyumbani kwake so ni vyema wakaongezewa, na wakasahau kuwa hata watumish wakawaida tu wanao watu kama hao wanaokuja kulia shida. Binafsi nafikir Ruge kaambiwa aipigie debe CCM na nahisi hao watangazaji wameahidiwa nafasi za kenye matawi si bure.

Kama wao kweli ni wakweli wayaseme hata maovu yao pia wanayoyafanya ya kupeana mimba na mengine mengi tunayoyajua.Haiwezekana Radio mwanzo mwisho wanasema mambo ya wengine tu na tena wakiegemea upande mmoja.Radio inatakiwa isifungamane na upande wowote pengine iwe imeanzishwa kwa madhumuni hayo lkn huwezi kuiita Radio ya watu halafu mnakuwa Radio ya CCM tunamjua Kibonde ni mpiga debe wa ccm lkn unatakiwa kufanya hivyo huko kwenye majukwa ya siasa na si kwenye Radio ya watu tena mwanzo mwisho wa kipindi unawasikilisha upuuzi wako uso kuwa wewe na faida kwa jamii ya wastarabu wewe ni nani hasa unataka kuwasemea watu ujinga wako.Mbona watu wanajua upuuzi wako unaoufanya lkn tunafanya ustaraabu.JITANGAZENI BASI KAMA NA NYIE NI RADIO CCM
 
Nafikili mkurugenzi wao anapita pita uku jf,
ajue ujumbe huu lazima ajitaidi aupate na atuelewe watanzania, ajue kuwa wakati sisi watanzania tunaumia katika hali ya umasikini kutokana kwa mipango mibovu na kandamizi ya ccm wafanyakazi wake wanatubeza kwa kuwabeza wawakilishi wetu hao wachache walioko bungeni.

Hii inatupa picha kuwa kampuni hii ya clouds inanufaika sana na ufisadi unafanywa dhidi ya watanzania na ilikuwa siri na sasa mmeamua kuwa wawazi, efraim kibonde ni muusika mkuu wa kuwakejeli watanzania kumbuka suala la mgomo wa madaktari na masuala ya bungeni, akina j hando na pj kila mtu kawasikia asubuhi hii ya leo,

ril tuna sikitika na sasa inakuwa ni kama balaa limetufika pale tunapofungua (tune) clouds fm na kumkuta mtu kama kibonde au j hando na wenzake kwani lazima ataongea maneno ya kuwabeza na kuwakejeli watanzania kupitia wawakilishi wao na ata kubeza complaints mbali mbali za watanzania dhidi ya serikali yao, clouds tunaichukia sana kwa tabia hii, muache unafiki jamani o/w mjisajili tuwatambua kuwa ni cloudccm fm radio ya mafisadi na si redio ya watu
nawasilisha
 
Shida yenu chadema ndo hiyo, mbona msiseme ile redio yenu kule Arusha inayowapigia promo kila uchao? (SUNRISE), acheni unafiki bana.
 
binafsi jana kipindi cha p/breakfast kiliboa sana eti wanaona ni saawa mshahara wa mmbunge kwa mwezi kuwa 10mil? tena wanadai wao wanafanya kazi nzuri ni kweli kabisa waongezwe, jamani acheni unafiki na upotoshaji, hivi kuliko kimlipa mbunge 10 mil anayekaa na kupiga dmo tu bungeni na kula bata na kuku huku ukimsahau askari anayekesha usiku akimlinda , ama daktari ama mwalim anaye toka povu kwa kubadilisha fikra za watu.

jion kwenye jahazi kibonde ndo aliboa kabisa eti mbona watu wanahoji sana kuhusu ongezeko la mishahara mbona hao watumish wengine hawajahojiwa wao wanapata kiasi gani? tena akaisifia serikali kweli ikiboresha maslah ya mmbunge basi itamuongezea ufanisi mmbunge.

walikwenda zaid wakidai eti mmbunge ana majukumu mengi sana achilia mbali wale wanaokwenda kulia hali mbaya nyumbani kwake so ni vyema wakaongezewa, na wakasahau kuwa hata watumish wakawaida tu wanao watu kama hao wanaokuja kulia shida. Binafsi nafikir Ruge kaambiwa aipigie debe CCM na nahisi hao watangazaji wameahidiwa nafasi za kenye matawi si bure.

Jamani usitegemee kumwona yule anaetangaza ukafikiria kuwa ameenda shule au elimu yake ni juu sana. Wapo tu pale upeo na mawazo yao ni finyu ndio maana hawajui kuwa pale walipo wanaongea na watanganyika wa rika mbalimbali ivyo inatakiwa akili yao angalau iwe juu. Uelewa sio lazima usome sana. Ila ningewaomba Clauds fm kuajiri watangazaji waliosomea na kuelewa wanatakiwa wafanye nn kuliko kuajiri watu kutoka mitaani ili kuwalipa mishahara midogo. Tafuta mtangazaji aliesomea sio wa kuchapia maneno. Ukiangalia watangazaji wengi wa radio,tv zetu wanachomeka sana maneno pasipokujua kuwa itaadhiri kwa kiasi gani kampuni. Ingekuwa kwa nchi za wenzetu kwa watangazaji hawa tulionao. Vituo vyote vingeshafungwa siku nyingi, kwani ingekuwa ni mahakamani kila siku. Hawajui maadili ya utangazaji. Usipotoshe, usidanganye, usionyeshe umesimama upande gani na mengi.
 
Kama wao kweli ni wakweli wayaseme hata maovu yao pia wanayoyafanya ya kupeana mimba na mengine mengi tunayoyajua.Haiwezekana Radio mwanzo mwisho wanasema mambo ya wengine tu na tena wakiegemea upande mmoja.Radio inatakiwa isifungamane na upande wowote pengine iwe imeanzishwa kwa madhumuni hayo lkn huwezi kuiita Radio ya watu halafu mnakuwa Radio ya CCM tunamjua Kibonde ni mpiga debe wa ccm lkn unatakiwa kufanya hivyo huko kwenye majukwa ya siasa na si kwenye Radio ya watu tena mwanzo mwisho wa kipindi unawasikilisha upuuzi wako uso kuwa wewe na faida kwa jamii ya wastarabu wewe ni nani hasa unataka kuwasemea watu ujinga wako.Mbona watu wanajua upuuzi wako unaoufanya lkn tunafanya ustaraabu.JITANGAZENI BASI KAMA NA NYIE NI RADIO CCM

jamani kama kuna redio isiyokuwa na vipindi visivyo elimisha ni clouds fm. asubuhi PB haina kingine zaid ya kudiscuss watu tena wale wanaowajua basi au kutusomea yaliyomo kwenye magazeti basi, kile kipindi cha baada ya hapo na chenyewe ni ushambenga mtupu ukitoka habari labda iwe imetokea DSM kinyume na hapo michambo kwa watu inanza, jioni jahazi ndio upashkuna na unafiki umejaa humo. labda miziki tu na hizo story za miladi ayo. Hakuna makala, hakuna features wala nini wao ni umbea tu. na kuharibu jamii.

sijawah kuwasikia watangazaji wakijisifia kujua kuvaa, ama sijui kucheza mziki ama kuendesha gari zuri kpitia redio lkn kwa clouds ni kawaida kabisa. bora waweke hata madarasa ya tuisheni basi kama hawajui kutafuta habari hata hizo za michezo ni uozo mtupu na upuuzi tena na hii ishu ya shafii dauda ndo usiseme kutwa nzma ndo yeye na akili mali. yaani wabadilike vinginevyo wanajishushia sana tu na tunawaona ni maalimbukeni.
 
Sio matusi lakini angalieni na elimu zao jamani unadhani wasipojikomba wataishije mjini? They are used just like toilet papers then unaflash away kama hivi fyaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Washanza kusutwa ujamuona mzee akilimali amemsuta mnafiki shafii juzi kwa kumwambia maximo asije yanga,. Nani tajitokwza hazalani kumsuta hando na kibonde
 
The radio (clouds fm) is a really janga la kitaifa........ndio linaaribu hata vijana wetu kutotumia muda wao kufikiria mambo ya msingi........i really hate the radio
 
Back
Top Bottom