hoteli ngorongoro inaungua!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hoteli ngorongoro inaungua!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Asango, Jun 20, 2012.

 1. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanajf kwa wale waliopo ngorongoro kuna taarifa kwmb kuna hotel ya kitalii inaungua.na tatizo liliipo ni ukosefu wa vifaa vya zima moto.waliopo karibu na tukio naomba mtupe taarifa zaidi!chanzo cha habar ni clouds fm
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wacha hiungue huko si ndo waliko choma nyumba za wamasai heti zipo ndani hifazi ?
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  hate, hat, height???? but message sent haya usiku mwema
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  naombea iwe ni ya yule mkuu aliyekwapua mihela ya umma akaenda kujenga bonge la hotel halafu sie tunakosa hela za madawa hospitali
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Asango!

  Hawa Clouds Fm Radio Mi siwafagilii sana kwa sbb ya yule mzigo mtu aliyoko pale na si mwingine ni A. Kibonde.

  Ila kwa kuwa Jf ni kila ki2 ngoja na tutapata news kama ni kweli!
  Ila ina maana pale mamlaka hawana gari la fire?
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160

  (Hoteli Ngorongoro inaungua moto)
  Itakuwa ni hoteli yenye jina la Ngorongoro hotel ama ni Hoteli iliyoko ndani ya Mamlaka ya Ngorongoro!

  Asango njoo na jibu tafadhali!
   
 7. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,451
  Trophy Points: 280
  hawa wawekezaji sio wa kuwaani ni wazoefu wa kuizunguka nchi. wakishirikiana na watanzania wasio waaminifu.!
   
 8. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mhh nipo ndani ya hifadhi ya ngorongoro nikipata news ntawajulisha
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  asigwa, kuiombea kuungua haisaidii! Wanakuwa wamekata insurance! Chukua hatua, ng'oa mafisadi, period!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  I hope hakuna aliyeumia!
   
 11. K'T

  K'T Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thankx for sharing naomba habari zaidi, sijui company gani itakua ime insure
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Kuna hoteli nyingi sana kule sasa sijui ipi!!poleni sana wahanga
   
 13. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Angalau labda roho yangu itatulia wakati nasubiri 2015
   
 14. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  King'asti; Seconded!! Hakuna kuchoka, kukata tamaa wala kufikicha vidole ... Do what must be done ..do the impossible ... Squash all of them to ashes!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...