Kwa wenyeji wa moshi naomba msaada

viane

Member
Mar 26, 2012
79
18
naomba mnijuze hotel nzuri na zenye kutoa huduma nzuri si mbaya km mtaniambia na bei zake zikoje.pia maeneo ambayo zipo pamoja bar nzuri kwenye nyama choma za uhakika. Natanguliza shukrani za dhati. Asante.
 
Kulala nenda Sal Salnero au Impala - barabara ya International School halafu nyama choma nenda kwa Kipanga (Ng'ombe) au kwa Mkulima (Mbuzi) au Chang Bay (kuku)!!
 
nenda new castle(kindoroko) sh 25000 double asubuh chai na maji ya kuoga ya moto then ndan pako poa tv kubwa
 
Kulala nenda Sal Salnero au Impala - barabara ya International School halafu nyama choma nenda kwa Kipanga (Ng'ombe) au kwa Mkulima (Mbuzi) au Chang Bay (kuku)!!

Mkuu nimekukubali, nikiwaga maeneo hayo huwa sikosekanagi mkulima kwa ajili ya mtura!!!
 
Rombo hotel, kweny jengo la bank ya posta,au kibo juu kidogo tu ya klm booking office.kongoro na supu nenda kwa kisisi mchoma ndafu pembeni mwa kontena la cocacola karibu na klm cooperative bank.
 
Nenda uhuru hostel ama lutherani hotel. Mahali pazuri na ulinzi wa malaika huku baraka na uwepo wa Mungu ukikuandama.
 
Zipo nyingi ila kuna kama Leopard ipo mjini kabisa na si mbali na stendi kuu ya mabasi. Pia kuna hotel kama Nyumbani hotel nayo ipo karibu na Kibo tower na sio mbali na stendi kuu. Kwa upande wa nyama ipo Uhuru hotel (zamani Uhuru hostel). Hiyo ipo maeneo ya Shanti town ni nzuri kwa nyama.
Na kama wewe ni mpenzi wa sinema,kuna sehemu inaitwa Mr. Price City.
 
naomba mnijuze hotel nzuri na zenye kutoa huduma nzuri si mbaya km mtaniambia na bei zake zikoje.pia maeneo ambayo zipo pamoja bar nzuri kwenye nyama choma za uhakika. Natanguliza shukrani za dhati. Asante.

Kiongozi usipate shida,nenda pale ZEBRA HOTEL,vyumba ni kuanzia 60000,40000,na 35000,nyama choma kuna pub moja inaitwa East african pub kuna nyama choma nzuri sana mkuu,wee pitia apo alafu utani pm mwenyewe.
 
mkuu

nenda pale Kiboriloni kuna sehemu inaitwa Onyonya Okunonze .... kunachakula nzuri sana
 
Hahahahaaa... nimeipenda hii maana wengine huwa tunaishia tu pale police officers mess kupata Mabomu na nyama choma... wenyeji endeleeni kutupanua majografia....Na ile kitu ya katoliki inapatikana wapi (classic)...
 
Kiboriloni wapi na wapi mkuu. Yaani mtu utoke mjini ukalale shamba? Hata maji kiboriloni sijui kama yapo. Sal salnero au Uhuru hostel mimi ndiyo nazikubali, ingawaje bei ya sasa sijui ni kiasi gani.
 
Hahahahaaa... nimeipenda hii maana wengine huwa tunaishia tu pale police officers mess kupata Mabomu na nyama choma... wenyeji endeleeni kutupanua majografia....Na ile kitu ya katoliki inapatikana wapi (classic)...
Kunaitwa HAMIA AIRTEL naskia huko ni balaa
 
oya we njoo ukifika stend ulizia t newcastle hotel iliyoko kindoroko na bodboda n mia tano ukpenda bku kwa chn kuna hotel gharama 25000 mngne tpa kule
 
Naona niwajuze ubunifu wa watu wa Moshi au ''WAGUMU WA MO-TOWN'',kuna kitu inaitwa Kuku wa maziwa mitaa ya Kiboroloni na KDC,halafu mkuu wa meza yupo sehemu inaitwa Samunge au Toroka Uje''.
 
Back
Top Bottom