Erkenforde university kimenuka tena.

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,066
Nimepata ya habari ya kuwa kuna mgogoro kati ya wanafunzi na Uongozi.Madai mojawapo ni kuhusu kiwango halai cha ada.Nasikia FFU wameshafika.
TCU tusaidie kukagua hivi vyuo na kurekebisha ili watoto wasome kwa aman,mnafanya nini mpaka migogoro iwe ya kuitiana Polisi?Tunawazoesha watoto kukabiliana na dola jambo ambalo si nzuri kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Ajabu,zaidi ya saa nzimana hakuna mdau Tanga wakupdate hii taarifa.Ama kweli Tanga ni starehe tu.
 
hicho chuo ni ile iliyokuwa sekondari ya wasichana pale kange?
 
Ni kweli kwa taarifa nilizozipata ni kuwa chuo kimefungwa na wanachuo wamepewa masaa sita wawe wameondoka.
 
Back
Top Bottom