Mshahara wa madaktari

RubenM

Senior Member
Apr 15, 2009
131
10
:juggle:Naskia eti mshahara wa madaktari umeongezwa kiduchu sana kiasi cha kwamba hadi madaktari kutangaza mgogoro? Nani ana habari kidogo au chini ya uvungu yenye kujua kiasi walichoambiwa?
23/06/2012 mgomo unaanza lakini siri ya kiasi ilichopanga kutoa sirikali ni kiasi gani jamaniiiii????
Nijuzeni. :poa
 
Back
Top Bottom