Viongozi wa dini mtupelekako siko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa dini mtupelekako siko

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Morrison, Jun 21, 2012.

 1. M

  Morrison Senior Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Waliojiita viongozi wa dini na kauli yao kuhusiana na kadhia ya Mnyika bungeni, kama huo ndiyo msimamo wenu kwa hakika mtupelekako siko. Udhaifu ni sifa ya binadamu hata kama binadamu huyo ni nabii, seuze rais wa ka - nchi kama Tanzania! Ni Mwenyeezi Mungu pekee ambaye hana sifa hiyo. Hali ya maisha ilivyo ngumu sasa kuna kila haja ya kujitokeza mtu kumwambia ''mfalme yu uchi'' ili ajistiri kwa kurekebisha hali ya mambo kabla watu hawajakata tamaa. Utiifu Mwenyezi Mungu ameukataza hata kwa wazazi waasi wa sheria zake wanaokuongoza kuelekea kwenye kumuasi (Mwenyeezi Mungu).
  mnazisoma aya hizi hamzingatii mafundisho yake badala yake mmeweka maslahi yenu ya kidunia mbele kwa kuzitumia kuusemea utawala.
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu, kwani tayari kuna viongozi wa dini waliotoa tamko juu ya Mnyika? Kama wapo hao wenye njaa ni wa dhehebu gani? Hebu tufahamishe vizuri tafadhali.
   
Loading...