Waganda wauzwa kama watumwa huko iraq | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waganda wauzwa kama watumwa huko iraq

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gati, Jun 21, 2012.

 1. g

  gati Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BBc limepokea na kutoa maelezo kamili kuhusu wanawake wa Uganda wanavyokuwa watumwa wa nyumbani nchini Iraq pamoja na hadithi ya kustaabisha ya jinsi walivyotoroka. Wanawake wa Uganda 100 waliokwenda Iraq mwaka 2009 hawajulikani walipo. Mwanamke aitwae Prossie aliungana na wanawake wengine 146 wakati wakisaini mkataba na kampuni iitwayo Uganda Veterans Dev. LTD iliyokuwa inatafuta wanawake wa kwenda kufanya kazi katika maduka yaliyopo ktk kambi za jeshi la marekani nchini Iraq. Kwa kauli yake alieleza kuwa "nilikuwa na kibarua kwasababu Iraq ni nchi yenye mchanga mwingi na hivyo vumbi huongezeka mara kwa mara, kwa hiyo mfagio hautoki mkononi". Possie alipojaribu kulalamiika aliambiwa"tumelipa pesa nyingi kukupata wewe na tuliambiwa nyinyi watu hamchoki wala hampati maradhi" kwa hiyo endelea kuchapa kazi. Prossie alibakwa na mwenyeji wake ndani ya nyumba, wanawake kadhaa kutoka uganda walizungumza na BBC waliseama kuwa nao walibakwa pia. Source. Mwananchi.

  MY TAKE: KUMBE WAARABU BADO WANAENDEKEZA KUNUNUA WATU A KUWAFANYA WATUMWA, KUMBE BADO SISI WAFRIKA TUNAENDEKEZA KUWAUZA WENZETU.
  KUMBE WAARABU WANAPENDA KUJAMIINA NA WANAWAKE WEUSI.
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
 4. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani nilikuwepo!
   
 5. g

  gati Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shehe, waenda wapi?, tia barka kidogo kabla hujaondoka.
   
 6. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivyo ndo uamusho itakavyo watenda wa znz
   
Loading...