Ulikuwa upepo tu, sasa umekwisha.

Jeho

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
5,053
5,503
Upepo huu si mwingine bali wa kufungiwa kutumia Jf baada ya kula ban ya mwezi mmoja. Sababu ya kufungiwa ni baada ya kuandika kuwa alah ndiye shetani mwenyewe katika post yenye tittle ya soma hapa USIWE CHAKULA CHA WASOMI. Cha ajabu wale waumini wa Allah kila siku katika jukwaa la dini, lazima waje na uzi wa kupinga uungu wa Yesu ili hali wao si imani yao, nami nilipoandika juu ya Mungu wa Imani yao, fasta tu nikalamba ban.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Utalamba ban nyingine ohoooo unaelezea tena maana sasa umenipa shauku ya kujua ya kujua ulichoandika......
 
sasa ndio umeoamua kutupia kwenye hoja na mchanganyiko...?! hoja gani ya kujadiliwa hapo..?
 
Utalamba ban nyingine ohoooo unaelezea tena maana sasa umenipa shauku ya kujua ya kujua ulichoandika......

Wacha wanipe tu maana nimeshazoea.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
 
Back
Top Bottom