BAKWATA: Mgomo wa madaktari ni batili

BAKWATA: Mgomo wa madaktari ni batili

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa.
Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia.
amewataka wote wanaoshabikia mauaji ya watz kwa kisingizio cha maslahi kuacha kufanya hivyo kwani ni *kinyume na ubindaamu.
Amewataka waislam na wapenda amani kwa Ujumla kuacha kushabikia vitu visivyo vya msingi

SOURCE: REDIO IMAAN
KIPINDI CHA MWANGAZA KWA JAMII
 
Wana lao jambo ooooohhh nimekumbuka JK ni nani wao vile.
Aaaaahhh kumbe madaktari ni nanihiiii na wanaongozwa na nahiiii na ukimwangalia kiongozi wao ni naniiii kwa hiyo wanapinga serikali kwa kuwa rais ni nanihiii
 
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa.
Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia.
amewataka wote wanaoshabikia mauaji ya watz kwa kisingizio cha maslahi kuacha kufanya hivyo kwani ni *kinyume na ubindaamu.
Amewataka waislam na wapenda amani kwa Ujumla kuacha kushabikia vitu visivyo vya msingi

SOURCE: REDIO IMAAN
KIPINDI CHA MWANGAZA KWA JAMII

Pamoja na Uislamu wangu, napinga hili tamko la Katibu Mkuu wetu wa Vijana BAKWATA. Napinga pia shinikizo la kutulazimisha tusihesabiwe kwenye sensa. Hivi sisi Waislamu tuna tatizo gani? Kwa nini tunalalamikia mambo ambayo hayana mshono na Uislamu wetu?

TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),

tumbiri@jamiiforums.com
 
Ivi mgomo wa madaktari ni wa maslahi tu au kuna vitu vingine?mbona hawazungumzii madai ya madaktari ya kutaka mazingira bora ya kufanyia kazi na kutolea huduma jambo ambalo ni cost effective..jamaa wakiendelea kutibu watu kwa uduni na upungufu wa vifaa ivi inahitaji akili ya ziada kujua madhara yake ni makubwa zaidi??
Dhaifu anahaha kutafuta public support kitu ambacho hawezi kukipata kwa watu makini.
 
Kugomea sensa si Batili ila mgomo wa Madaktari wanaopigania Huduma za Hospitali ziwe nzuri ni Batili. kumbe BAKWATA Mnajua kuwa kushabikia vitu visivo vya msingi mnajiangamiza wenyewe na Taifa. Ni kweli watu wangu wanaangamia kwa kukosa MAARIFA
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa.
Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia.
amewataka wote wanaoshabikia mauaji ya watz kwa kisingizio cha maslahi kuacha kufanya hivyo kwani ni *kinyume na ubindaamu.
Amewataka waislam na wapenda amani kwa Ujumla kuacha kushabikia vitu visivyo vya msingi

SOURCE: REDIO IMAAN
KIPINDI CHA MWANGAZA KWA JAMII
 
Ila kugomea sensa ndio sahii eeh?kweli nyie hamnazo(BAKWATA) hamna jipya,you need brain wash
 
naona leo wanatumia viongozi wote wa kidini,wameanza na anglicana na sasa ni bakwata.
ngoja tusubiri matamko ya uamsho,wakatoliki,ngurumo ya upako,wahindu n.k
 
Kususia sensa lenyewe ni jambo la msingi? BAKWATA si chochote wala si lolote, kaeni kimya hamna maana yoyote katika nchi hii.
 
Katibu Mkuu wa Vijana wa BAKWATA amesema mgomo wa madaktari unaoendelea hauna nia njema kwa taifa.
Amedai mgomo huu unaweza kusababisha vifo vya watz wasionahatia.
amewataka wote wanaoshabikia mauaji ya watz kwa kisingizio cha maslahi kuacha kufanya hivyo kwani ni *kinyume na ubindaamu.
Amewataka waislam na wapenda amani kwa Ujumla kuacha kushabikia vitu visivyo vya msingi

SOURCE: REDIO IMAAN
KIPINDI CHA MWANGAZA KWA JAMII

Tatizo hii inayojiita Jumuiya ya Kiislamu na baadhi ya makundi ya Kiislaamu yamekuwa yakitumika na serikali ya Kikwete kwa maslahi binafsi.

Bakwata wameshindwa hata kuboresha zahanati zao- hawana hata hospitali moja ya mkoa, achilia mbali ya Rufaa. Hawa ni kupiga domo tu: Sasa kama mgomo ni batili, kipi halali? Ni serikali kushindwa kutoa huduma za afya wa wananchi wake?

Au kwa kuwa Bakwata wameshindwa, ndiyo wanataka kuhalalisha kushindwa huko na kushindwa kwa serikali.
watu mnatia aibu na mnaudhalilisha uislamu. Mmetumika wakati wa uchaguzi, mmepata nini? Mbona kila uchao ndiyo kwanza mnalalamika eti, matokeo ya watoto wenu yanachakachuliwa!
 
Vipi mgomo wa sensa ni batili au halali?
 
Kwani madaktari waislam nao wanagoma?
 
Vipi nao Wanavyofanya Mgomo wa Sensa hawaoni kama wanasababisha vifo vya wadanganyika.
 
Tatizo hii inayojiita Jumuiya ya Kiislamu na baadhi ya makundi ya Kiislaamu yamekuwa yakitumika na serikali ya Kikwete kwa maslahi binafsi.

Bakwata wameshindwa hata kuboresha zahanati zao- hawana hata hospitali moja ya mkoa, achilia mbali ya Rufaa. Hawa ni kupiga domo tu: Sasa kama mgomo ni batili, kipi halali? Ni serikali kushindwa kutoa huduma za afya wa wananchi wake?

Au kwa kuwa Bakwata wameshindwa, ndiyo wanataka kuhalalisha kushindwa huko na kushindwa kwa serikali.
watu mnatia aibu na mnaudhalilisha uislamu. Mmetumika wakati wa uchaguzi, mmepata nini? Mbona kila uchao ndiyo kwanza mnalalamika eti, matokeo ya watoto wenu yanachakachuliwa!
mkuu hata hayo makanisa yanayopewa pesa na Serekali naona watumishi wao wanagoma. MOU useless in Tanzania. CCM iache kukumbatia makanisa kuwapa pesa badala yake pesa za watz *zilenge kuboresha mahitaji ya madaktari
 
Mkuu, kwani makanisa yanapewa pesa kujengea makanisa mengine au kwa ajili ya kuboresha huduma za jamii ambazo hutumika na wananchi wote bila kujali dini zao?
 
JK, kwa mgomo wa madaktari ndio utakapojua Athari ya MoU.

mkuu hiyo MoU mnayoilalamikia kila kuchwao hujaona faida zake.?hebu fikiria hospitali zifuatazo zisingekuwepo ingekuwaje
-KCMC
-CCBRT
-BUGANDO
-IFAKARA
-HYDOM
-ACMC
kumbuka kuwa hospitali hizi zinatoa huduma kwa wananchi wote bila kujali dini zao
 
Back
Top Bottom