Yafaa nini kuwapa wasanii studio.......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yafaa nini kuwapa wasanii studio.......!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Hunter, Jun 26, 2012.

 1. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kipindi flani nilimshuhudia Dhaifu akiwaahidi wasanii wa muziki wa kileo studio mpya, labda aliamini wasanii tabu yao ni studio, ama ni vyombo vipya
  Lakini ukifikiri kidogo unagundua alilenga ama amewapa samaki bila kuwatatulia tatizo lao ambalo ni namna ya kuvua samaki hao
  Nchi yenye mikoa zaidi ya 25, studio moja si suluhisho hata kidogo, bali kuwalinda wasanii dhidi ya wezi wa kazi zao ambao wengi ni mapromota, wasambazaji, wamiliki wa vyombo vya habari na wanaokopi bila idhini ndo lilikuwa suluhisho
  Kama tumeweza kufikiri kuwa na vazi la taifa, ambalo kimsingi ni ujinga tuu kwani zama za kuvalishana misare kama makhirikhiri zilishapita, basi kufikiri upya jinsi ya kumlinda msanii na kumfanya afaidike na jasho lake iwe ndo changamoto yetu
   
Loading...