Star TV Fundisheni watangazaji wenu Kusoma Magazeti

GHOST RYDER

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
1,025
475
Star TV Fundisheni watangazaji wenu Kusoma Magazeti

Kwa kipindicha karibu miezi miwili hivi nimegundua kuwa Kile kipindi cha Tuongee Magazetikwa upande wa Star TV na Watanzania tuzungumze magazeti kwa upande wa RadioFree Afrika vimetenganishwa na kila kituo kinasoma kwa namna yake.

Kwa siewatazamaji wa Star TV hii ilikuwa ni habari njema kwetu kutokana na kwambatulilazimika kumuona yule jamaa akichambua magazti katika kiashirio chao chakipindi hicho kwa zaidi ya dakika tano hadi saba wakati mwingine tukisubiriRadio ikamilishe ungwe yake ya Matangazo ndio wajiunge na TV, Licha ya kuwahili liliwachukua muda watendaji kubaini dosari hiyo kwa ukuaji wa TV lakinibaada ya muda walipata maarifa tena baada ya maoni kadhaa kutoka hapa JF.

Lakushangazakwa sasa ni kukosa ubunifu wa wazi kabisa kwa wasoma magazeti wa kituo hikiambao wengi wanaonekana ni wavivu wa kufikiri na wasioifahamu vema tasnia yahabari na hasa uandishi w magazeti.

Katika haliya kawaida habari iliyoandikwa kwa maandishi makubwa inamaanisha kuwa ni hot nandio topical issue kwa wakati huo, haiwezekani msoma magazeti ukasoma habarihiyo na kuiruka na kusoma habari ambayo hata gazeti halikuipa uzito kamaalivyokuwa anafanya leo Christina Mbezi ambaye namuona kama dhaifu sana katikaungwe hii ya usomaji wa magazeti kutokana na kushindwa kuwa na uelewa wacurrent affairs,
Hali hiiinaonekana kuwaathiri wasomaji wengi wa magazeti wa kituo hiki ambao kwa ujumlawao utakuta wanaacha kutosoma habari muhimu na kukimbilia habari iliyomvutayeye na siyo ambayo jamii na watazamaji wao tulipenda kuzisikia.

Kwa kuwa namapenzi mema na kituo hiki ambacho pekee kimekuwa mstari wa mbele kuipa nafasihata JF kujitangaza na kutumia michango ya wachangiaji katika kipindi chaTUONGEE ASUBUHI nashauri muda uliopangwa kwa magazeti utumike vema na si kuachagap kubwa kuelekea saa moja kamili kwa wakati mwingine hata dk 10 kama leozimeachwa dakika 12 matokeo yake mnaaishia kutuonyesha makala zile fupi ambazozinajirudia kila siku.

Fanyeni maarifa ya kuwafunda watu wenu kuwa wabunifu na kutumia vema muda huu wa kusoma magazeti kwa ukamilifu

ADIOS
 
Hawana tatizo mbona!
We kilaza,kanunue magazeti,hebu tazama TBC au TV nyingine utajua wababaishaji ni kina nani?
 
Hawana tatizo mbona!
We kilaza,kanunue magazeti,hebu tazama TBC au TV nyingine utajua wababaishaji ni kina nani?

Inaonekana unafanya kazi Star TV umejificha kwenye hii ID kutetea ujinga, My Choice is Star TV na ndo nawasaidia watumie muda vema na kusoma magazeti kwa ufanisi we Tazama hao TBC na ITV ni chaguo lako. Ila hapa kuna matumizi mabaya ya muda na uchaguzi duni wa habari za kusoma kama stand out za papers zenyewe zinavyoonyesha.

Na imani wao Star TV kama wanataaluma wamenielewa ila wewe Dhaifu uliejificha kwenye hiyo ID unataka kuendeleza ujinga wa kukihujumu Kituo.
 
Back
Top Bottom