Hatimaye bakwata watoa tamko

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Baraza la bakwata latoa tamko kuwataka waumini kushirikia katika sensa ya mwaka huu
 
Ni maneno yenye hekima sana. Waachane na hao wahuni waliotaka kugomea sensa
 
Walikuwa hawana hoja ya msingi yakuhamasisha waislamu wasihesabiwe, Kama ilivyo kwa madai yao mengine mengi ya ovyo na yasio na kichwa wala miguu ikiwemo manung'uniko ya kitoto yasiyo isha, kama, serikali hii inapokea amri toka TEC, Nyerere, aliwakandamiza waislam, Nafasi nyingi kubwa wamependelewa wakristo, wanataka OIC, Waislam wanafelishwa ktk kusaisha mitihani, Na Mengine mengi
Baraza la bakwata latoa tamko kuwataka waumini kushirikia katika sensa ya mwaka huu
 
Ni kina nani hao?
Uamsho....tunao humu humu...Niliwahi kusema wanaudhalilisha uislamu na kupandikiza chuki na wakati mwingine nadhani wanafanya makusudi ili waislamu waonekane kuwa ni watu wasiolewa kabisa ....soon watatia timu...Yetu macho tunasubiria shura ya maimamu...uamsho...balukta......bakwata...nk
 
Back
Top Bottom