This is not fair kabisaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is not fair kabisaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Advocate J, Jun 24, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Wanajamii forum ivii mbona walimu ndio kundi lenye mishahara midogo kwa maana hii ni dhahiri kwamba serikali haipo siriaz kwenye elimu maanake walimu wanafanya kazi nzito sana lakini malipo hayaridhishi!
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wafoji vyeti ndio wamejaa huko, na watumia vyeti vya watu hasa Shule za msingi.
   
 3. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Unataka kujua ukweli? Waulize wazazi wanaosomesha leo hii, ni nani yuko tayari mwanae awe mwalimu hapo baadaye? Akikataa muulize ni kwann? atakujibu.

  Ukitoka hapo nenda katika vyuo vya elimu ya juu, robo ya wanachuo wa full time & part time wanaosomea fani zenye maslahi walikuwa walimu tena wengine waandamizi. Waulize ni kwanini hawakupiga kelele kama wewe badala yake wamechukua hatua yenye akili.

  Amka wenzio wanahama mabondeni wewe unasubiri boti, utazama!
   
 4. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Ni rahisi kuwadhibiti. Hawawezi kuwa na umoja kwa vile wametapakaa kila mahali. Na kusema ukweli wengi wao (hasa shule za msingi) elimu zao zinatia shaka.
   
 5. Prince Nadheem

  Prince Nadheem JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 1,026
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  ndio maana walimu wengi mikukuta binafsi huwa haiishi hasa wa secondary maana kuna walimu wanaingia kazini saa 1 asubuhi na saa 3 hawapo unakuta wanafunzi wanaimba mistari tu,ukiuliza walimu unaambiwa hawapo,10 years to come elimu itakuwa chini zaidi ya hapa ilipo na hawa walimu bongo fleva wa sasa ndio basi kabisaaaa maana wako vyuoni tutayari wana mipango ya sanaa wakiingia job. ntakuja kuchangia tena nimeitwa.
   
Loading...